Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Watu wa utamaduni hawachapi mwanamke kwa fimbo. Wanamchapa kwa Ukuni. mwanamke hapigwi makofi... hapigwi ngumi na mateke (hapa ndo unakosea kabisa ) afadhali kibao kimoja tu cha kumshtua akili...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Katika harakati zozote za binadamu changamoto hazikosekani katika maisha, nimesema hivyo kwasababu kuna mdada mmoja jirani hapa nimefamiana naye kidogo sana. Siku moja akanifuata...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849] Nilitegemea atanitafuta ataomba...
8 Reactions
117 Replies
6K Views
Wakuu habari za asubuhi, kama kichwa kinavyojielezea kuna mwanamke niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa lakini baada ya muda tuliojiwekea kwamba tuharalishe mahusiano yetu...
2 Reactions
151 Replies
10K Views
Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na...
17 Reactions
83 Replies
7K Views
Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee, kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu, Kashapangika kabisa aisee ila shida ipo kwenye location ya kwenda kuchakatiana. Sina...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwanza mtambue beautiful span yenu ni ndogo sana. Ukishafikisha miaka 28, uzuri wako utaendelea kudumu kutokana na mazingira unayoishi, unakula nini, kazi unayofanya au mume wako nani kinyume na...
27 Reactions
44 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano Ni miaka saba kama si sita iliyopita, nilipingwa na kitu kizito utosini kinacho itwa mapenzi, kwa mtu nilie mpenda sana zaidi ya sana Nilijua ndio...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Salamu wakuu.. Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae. Wiki iliyopita alienda kwao KZN...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Ila wanaume wengine ni chanzo cha uharibifu wa maisha ya mwanamke, kama mwanaume umeshindwa kuendelea na mwanamke kwanini usimuache kiamani unaamua kumzushia mambo ambayo hayafanyi ili umuharibie...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Wengi wetu tumepitia maisha haya, kwa kukaa sehemu moja familia changanyika kiasi unakosa hadi mahali pa kulala, kisa tu huenda; Wenye nyumba ndie anauwezo ukoo mzima Anahuruma ya kupitiliza...
28 Reactions
135 Replies
8K Views
Samahanini kwa kutowasalimia Yani ipo hivi yani hiki kitu kina nitokea sana kwa upande wangu,,,ni hali ambayo nakutana nayo sana unakuta binti niliempenda leo kutoka moyoni baada ya miaka kadhaa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Wajuba wasalaam!!! hakika mapenzi yamejaa maajabu (japo si mageni kwa wengine) sijui labda niliwahi kuoa kabala ya kuwafahamu hawa viumbe?? (expirence) kuna kipindi kama cha mwezi au miezi...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego...
9 Reactions
116 Replies
16K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu na wanajamvi la Hoja mchanganyiko? Nitaomba radhi kwa yule nitamkwaza ila acha niliweke hili swala hapa jukwaani tulijadili. Mimi nimebahatika kulelewa na wazazi...
16 Reactions
313 Replies
26K Views
Kadri siku zinavyokwenda, wazazi wengi hupenda kuweka picha za watoto wao mitandaoni huku wakiwapongeza na kujivunia walivyo warembo, wenye akili na wepesi kujifunza ama wanavyowaletea furaha...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Hivi vilio vyote vya wanaume kulia na wanawake ni matokeo ya kukiuka hayo niliyo yaorodhesha . Mwanaume ukiishi katika ndoto zako hakuna mwanamke atakae kuumiza walio wengi watakusumbua tu na sio...
15 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom