Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Za mchana huu wadau hapo ulipo. na sisi mwenyeji wa hapa mwanza Kisesa kuna moto umetokea mda sio mrefu kwenye nyumba fulani karibu na hospitali ya kisesa ila jeshi la zima moto linafanya kazi kwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids)...
1 Reactions
79 Replies
16K Views
Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi? Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini...
45 Reactions
118 Replies
11K Views
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mno [emoji16]. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha Katika miezi mibovu kwangu ni...
30 Reactions
188 Replies
12K Views
Inasikitisha sana, Unaamua kujitolea kuwa na single maza tena aina ya thate plus (30+) kwa kujua kuwa amepitia ujana vya kutosha na tayari kashajifunza! Umri ni namba tu, kakupiga gap la miaka 6...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Uzi tayari! Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni? Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
7 Reactions
203 Replies
12K Views
Hali zenu ndugu zangu! Nimerudi muda huu nimekuta hotpot mezani, nimefungua nimekuta unga kama unga na matembele mabichi. Kisa alipiga simu sikupokea kutokana na kubanwa na kazi asubuhi. Kosa...
28 Reactions
236 Replies
14K Views
Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu! Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila...
19 Reactions
76 Replies
6K Views
Wakuu Amani iwe nanyi. Nimefungua Uzi huu Kwa Nia ya Ku share uzoefu / Success za Kuishi Kwa Amani na Mwanamke ambaye ameokoa, bila kuyumbisha Familia. Nimeshuhudia Ndoa Nyingi zikiyumba na...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Mapenzi ya miaka hii ni full stress, unakuta umemtongoza binti amekukubali vizuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki, basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nini?
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Nothing can replace your love[emoji173] Nothing can ever replace your love [emoji173] You take away my every fear You wipe away my every tear[emoji24] You make me smile in the grim You shine...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na...
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Hawa watoto wenu mnaowaleta kusoma Dar pls pls jitahidini kuwatake care. Mnawawekea mazingira magumu sana. Mnawaingiza majaribu (hapa siongelei wale wadada ambao hata mzazi ajitahid ye bado ana...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Nilianza mahusiano naye akiwa na mtoto mmoja ambaye kwa wakati huo baba yake alikuwa hajulikani,Mwaka mmoja baadaye baba wa mtoto akajulikana na kujitambulisha rasmi. Baada ya utambulisho nikawa...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi...
10 Reactions
66 Replies
6K Views
Hello wadau heri sana kwa pasaka. Natumaini yote ni wazima wa afya tele, kama haupo poa basi Muumba akupe wepesi upone haraka. Nipo hapa Songea hata sielewi elewi hii siku utaishaje,kama kuna...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiamua kupuuza sawa,,,lakini amini usiamini kuna siku utanikumbuka
0 Reactions
3 Replies
775 Views
Simulizi ya kweli iliyonitokea katika maisha yangu ya kimahusiano nitatumia neno "she". Miaka kadhaa wakati nipo kwenye mahusiano mazito na mrembo mmoja. shetani alinijaribu kupitia she mmoja...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Hello wanajamvi, Wake zetu wana mahitaji yao binafsi pasi na chakula ambayo ni muhimu kwao! Mahitaji yenyewe ni kama vile kusuka, urembo wa kucha, vocha, pesa kwa ajili ya ndugu zake, pedi n.k...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana. Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha. Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa...
12 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom