Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wazazi wanapitia changamoto ya watoto wao kutoolewa na kutooa kwa wakati waliotarajia wao, vijana wa kiume wakiulizwa kuhusu hili wana sababu nyingi juu ya hili. Wapo watakuambia bado hawajaona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu dam dam kaoa mwaka huu mwezi wa pili,ndoa ya mkeka ya kiislam,kabla ya kuoana walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Sasa jana umetokea ugomvi mdogo kisa mke alitaka jioni...
23 Reactions
170 Replies
10K Views
Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana. Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wakuu. Naimani wote niwazima kabsa. Iko hivi wakuu wiki ya 2 sasa inaenda niko na mahusiano na mwanamke mmoja yuko powa Sana huyu Dada nikatokea kumuelewa nilimuomba namba na yeye...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Kuna jamaa yangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu ila kwa maisha aliyokuwa anaishi anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea hapa kachanganyikiwa week ya pili...
26 Reactions
135 Replies
18K Views
Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa...
28 Reactions
254 Replies
34K Views
Habari za leo wanajamvi! Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye. Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo...
40 Reactions
693 Replies
38K Views
Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanandoa na watarajia kuingia kwenye ndoa wameshindwa kutii miongozo ya imani zao ambazo zinatokana na Mungu, badala yake wanamsikiliza binadamu ambaye uwezo wake wa maono unaukomo. Wauaji na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Hallow tujipongeze kuwa wanaume. Hivi ni mbinu gani huwa unatumia kumtoa demu wako au mpenzi wako kwa lugha nyepesi. Kama ikiwa amefikia mahali ambapo sio kitandani na kumpeleka panapohusika ili...
8 Reactions
113 Replies
10K Views
Nina mpenzi wangu ambae muda wote mahaba mtumiane msg!! Sasa jana nimeamka nimekaa hadi jioin sijamchek nilikua busy kanuna!! Naona kama tutashindwana mimi ni Thug cpend muda wote mambo ya ivo ...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu. Sitaki kuleta mbwe mbwe sana, moja kwa moja niende kwenye mada; lakini kabla sijaenda kwenye mada moja kwa moja naomba kwanza niweke sawa kuwa ninachoenda kusimulia hapa ni...
10 Reactions
54 Replies
14K Views
Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika. Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini...
35 Reactions
263 Replies
11K Views
KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia...
18 Reactions
63 Replies
7K Views
Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
"Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba, siku hizi vijana wengi huamini kuwa baada ya kukutana kimwili, ndipo wanapoweza kudai kwamba, wamewafahamu wapenzi wao vizuri na kwamba kukutana kimwili ndiyo mapenzi au kupendana...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia...
11 Reactions
247 Replies
29K Views
Back
Top Bottom