Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada,
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume...
Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi...
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita.
Mwanaume...
Nmerudiana na x wangu aliekua na umbo namba 8 ili nipashe kiporo, cha ajabu analazimisha niachane na msichana nilie nae ambae ninae huu ni kama mwezi wa 5 na huyu c wangu nilikaa nae kama miaka...
Wanawake bhana walioolewa kidogo wakiongea hivi ina make sense, lakini hivi viruka njia vinashangaza vinaposema " bila mimi usingefika hapa ulipo " hizo kauli wakati mnaachana au unamwacha...
Habari zenu Wana jukwa. Nimeleta habari yangu kwenu kwa Lengo lakupata Ushauri na mapendekezo.
Mimi ni kijana Mwanaume Mwenye mke na mtoto, ni miongoni mwa Familia maskini Sana Mwenye elimu ndogo...
Wanawake wa Dar ni wajanja wajanja, waongo, wanapenda kuiga maisha ya kisasa sana na kuishi maisha fake so hiyo inawalazimisha kuhangaika na pesa kuliko hata ibaada, kwa kuwa vipato vyao halali...
USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO
- labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie.
UKIKOPA, LIPA!
-Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa
UKITOLEWA DINNER AU...
Habarini wakuu
Daaah kuna binti mmoja nampenda sana ila sasa nashindwa kumtokea maana nimetoka kufahamiana naye kama week mbili hivi zimepita na natamani aje kuwa mama wa watoto wangu changamoto...
Habari wana Jamvi, leo narudi kwenu tena ikiwa ni baada ya miezi 10 kupita toka niachane na binti alieugaragaza moyo wangu hadi kufikia kuishi nae pamoja.
Sababu iliyofanya tuachane ilikuwa ni...
2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae.
Tukawa friends then Fuc* mates.
Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii.
Kwenye hela na...
Leo tuangalie upande wa pili kidogo. Tujadili kwa kujenga ili tuone wapi tumekosea ili tujirekebishe, lengo likiwa ni kufunguana mawazo. Mada hii inaweza kuwa msaada mkubwa kwa vijana ambao...
Leo nimeblokiwa na mwanaume nilie mpenda kwa miaka 4, kutokana na kumtumia txt za makasiriko like; “ hueleweki siku hizi”, “umekuwa kero siku hizi”. Sababu za kumtumia txt za makasiriko ni hizi...
Tuliachana mwezi January mwaka 2018, kila mtu aka-move on na yakwake, binafsi niliumia sababu nilimpenda kweli na yeye alinipenda ila kama unavyojua sababu tu za kiufundi za hapa na pale...
Habari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake...
Habari wapendwa
Kuna Watu hawaamini kama unaweza kupata mpenzi humu jf lakini mimi nasema hivi wapo wenye nia ya dhati kabisa kwa ajili ya ndoa wa kike na wa kiume
Tena wadada warembo kabisa...
Habari zenu wakubwa wa JamiiForums
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Hivi karibuni mdogo wenu nimepata mpenzi mpya ila kiasili si Mtanzania mwenzetu ni Mzungu ila anamakazi na biashara zake hapa...
Habari,
Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho.
Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.