Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane.
Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger...
Habari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati...
Asalam wana jamii! poleni na majukumu ya hapa na pale!
.
Niende moja kwa moja kwenye hoja!
.
.
Ukisoma nyuzi nyingi za hapa jamii forum zinawaongelea vibaya sana wanawake ambao wameajiriwa na kuwa...
Said alimpenda mkewe kiasi Cha kupitiliza akafika stagi ya kuwa na wivu mapaka kumzuia asiwe anatoka home.
Said inaonesha alifika stage alikuwa anashidwa kujicontrol yeye Kama yeye akiwa na...
Sasa hivi ndo naamka kutoka usingizini huku moyo wangu ukiwa bado umejawa na hasira za tukio la jana jioni!
Nilikuwa nimekaa kwenye kibenchi cha nje ya duka moja huku nikiwaza kesho ifike niamkie...
Kwako mpenzi,
Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako.
Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi...
Miaka hiyo nipo zangu chuo ndio tupo dakika za mwishoni kukibwaga chuo. Basi Kuna huyo manzi alinivutia hivyo sikutaka niende kwa kumtongoza , nikaamua nianze na huduma kwanza then ndio nije...
Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko...
Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote...
Huyu Jamaa kapata mwanamke mzuri na mimi i wish to get such Woman. Mwanamke anayekomaa na we A part of challenges u face she is right woman. Nb simpendi Sabaya ila napenda nipate mwanamke kama...
Asilimia kubwa ya mada nyingi humu zinazungumzia kuchapa k na kulala mbele.
Je, somo la mapenzi liingizwe mashuleni maana wanaume tunakosa uvumilivu wa kuishi na ke
Je, wazee wetu waliwezaje...
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't...
Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha...
Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na...
Huyu jamaa angu mzee wake alifariki akiwa mdogo wakiwa wameachwa watoto watano yeye na watoto wengine. Mzee aliacha asset kias kwa hyo bi mkubwa akawa anazismamia.
Baada ya baba yao kufariki mama...
Wakuu heri ya mwaka mpya, naamini mmeanza mwaka mpya kwa utulivu kabisa, maake najua stress za karo tushaachana nazo tangu 2021 Dec.
Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na...
Nishawahi kuandika humu kuhusu mahusiano sugu humu mkanipuuza
Saizi mnaishi humo mnashindwa ku move on
Mmegeuka watumwa wa wapenzi ambao hamuoni future kwao
Kila siku ni vilio vya hasara ya...
Ni rafiki yangu tumejuana miaka kadhaa iliyopita, anaishi na mwanamke ila hawajafunga ndoa, though ana watoto naye, wawili...
Kimbembe kinakuja, pamoja na kuwa na huyo mke ambaye hajafunga naye...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 naishi Tabata Jijini Dar es salaam, nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani...
(1) Kuomba pesa; Hiki ndiyo kipimo cha kwanza ambacho mabinti wengi wanakitumia, wanaamini mwanaume akikupa pesa basi anakupenda. Utasikia “Muombe pesa ujue kama yuko siriasi na wewe au la?”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.