Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama kichwa cha maada tajwa hapo juu je kwa mustakabali wa ndoa na familia je maisha hayo yanafaa au yana athari kwenye saikolojia na hisia? Binafsi nimewaza Hilo Jambo nikavutiwa nalo natamani...
9 Reactions
77 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu. Kuna jamaa hapa anafanya kazi katika kampuni ya insurance mjini. Pale anapofanya kazi yeye ni subordinate na ana supervisor wake mwanamke. Jamaa alitokea kumpenda supervisor...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu...
5 Reactions
37 Replies
7K Views
Wasalaam!! Hivi hii kauli inayosemwa na wanawake hasa mkiwa na migogoro eti "nimekuheshimisha unaitwa baba" inakua na maana gani kwenu nyie wanawake!!? Hivi wee mwanamke unapojiona upo juu na...
7 Reactions
17 Replies
974 Views
Aisee kupigwa chini kunauma Sana. X awaletea maharusi zawadi ya Bomu na kuwalipukia 😂😂😂😂. Ukute huyo demu alikuwa Sana vya jamaa kabla ya kumbwaga na jamaa kaamua liwalo na liwe tukose wote 👇
0 Reactions
7 Replies
952 Views
MARRIAGE IN SOUTH SUDAN MEANS 4 YEARS OF FREEDOM FOR BRIDE Today we tour the Dinka custom of marriage. Despite payment of dowry that ranges from 100 to 500 cows, women are treated godly. Once a...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna...
18 Reactions
111 Replies
10K Views
Hii hapa ni kweli?
0 Reactions
5 Replies
797 Views
Hi guys, Mwajionaje na hali? How's weekend outta there? Natumaini mnaendelea tu poa, so am I. Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala...
78 Reactions
1K Replies
52K Views
Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo. Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda...
15 Reactions
111 Replies
7K Views
Hii Ni baada ya kuangukiwa kitu kizito kutoka juu ya shelve na kuumia bega la kushoto na michubuko kadhaa shingoni. Hali Iliyonipelekea kulazwa kitandani kwa Siku 3 hospitali. Sasa Siku ya 1...
28 Reactions
255 Replies
12K Views
Wakuu Poleni na Songombingo la Ma Headmaster January hii. Wakuu nakuja mbele yenu kupata busara zenu na namna mnavyoshughulikia Changamoto za kifamilia. Mimi ni kijana wa miaka 34 ambaye ni...
45 Reactions
242 Replies
19K Views
Habari wana JF? Nina mdogo wangu amepata post ya kazi mkoani Tanga baada ya safari ndefu ya kusaka elimu. Ni mwaka na miezi sasa imepita tangu aende kuanza maisha hayo ya kujitegemea. Hivi...
5 Reactions
152 Replies
61K Views
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na...
25 Reactions
155 Replies
10K Views
Wakuu. Habari naomba Tupeane Mikasa ulifanyaje ulipompa Demu/binti mimba katika muda ambao haukujiaandaa. Naona kitu kizito kimetua kichwani maana kuna Bo Binti nimesababisha Tayari
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina. Soma kwa makini kuna fundisho hapa Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua...
18 Reactions
473 Replies
32K Views
Since Its Thursday
3 Reactions
9 Replies
575 Views
Shebby si mwanangu kiviile sema anahusika sana kunipa mapande mbalimbali. Mchizi wangu kibonge Suddy ndo zinapanda sana japokokuwa hana mchongo wa maana hapa town. Huwezi amini majuzi kati...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu, Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa...
13 Reactions
61 Replies
6K Views
Back
Top Bottom