Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa...
Habari wana MMU,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Wiki hii nilikutana na demu wangu kwa ajili ya mgegedo. Lakini tukiwa katika harakati hizo, alishangaa first round ikichukua kama dakika...
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale nimefungua ofisi kubwa sana hapa mjini ya kuchezesha game pes sasa hapa ofisini kuna mkusanyiko mkubwa wa biashara sasa kuna mdada mmoja hapa ana genge...
Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂
Kumbe karibu na ile meza kulikua na...
Mfumo dume unamtambua kama kiumbe dhaifu, asiye na nguvu.... Huu ni upotoshaji mkubwa labda nguvu hizi za kimwili na si kiroho....
Namheshimu sana mwanamke hasa asili yake kiroho na in fact...
Hello Wadau!!
Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko.
Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu...
Dogo anaendesha boda boda mtaani kwetu, akapata demu mmoja pisi kiasi akamtokea demu akakubali lakini demu akatoa sharti kwa dogo kwamba Kila watakapoonana dogo ampe demu 20k
Dogo akakubali...
Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana...
Kwanini ni rahisi hili neno kuambiana mwanamke na mwanaume na pia mwanamke kwa mwanamke ila sasa ikija kwa mwanaume kwa mwanaume inakuwa vigumu kibongobongo?
Je, mwanaume unaweza kumwambia...
Helloo.jamani natumaini mnaendelea vizuri wote,sasa kilichonileta ni kutaka kujua kua: katika familia mara nyingi wanaume humchagua mtoto mmoja wakiume miongoni mwa watoto wengine.
Huyu kazi yake...
Nani kama mama ni msemo maarufu sana tangu zama za kale hadi sasa!,hakuna chakubalisha katika msemo huu!,pia mara kadhaa ama kila siku watu wamekuwa wakiwasifia mama zao kuwa ni bora sana na pia...
Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na...
Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa...
Mimi ni mkatoliki, nina miezi mitatu tangu nifahamiane na rafiki yangu wa kike mlokole ambaye tulikutana kwenye course ya muda mfupi inayohusiana na fani yetu, ila tangu siku ya kwanza...
Habari wana JF.
Twende moja kwa moja kwenye mada na kuomba ushauri juu ya hili. Kuna hali inanitokea si ya kawaida nikiw mwnye hasira sna ni mwenye kutetemeka na kuhisi bard haswa.
Nilikuja...
Ni ndugu yangu kabisa mdogo wake mama kapata kazi sasa yuko kwenye training akaniomba kukaa na mm kwa muda..
Jana kamleta demu wake na wamefanya uzinzi kitandani kwangu. Nilimkataza
Nimemwambia...
Hili jambo nimekua nalisikia sikia sana kwa watu.
Kwamba kuna baadhi ya Wanawake ukiwa nao kwenye mahusiano au kufunga nae ndo wanakuwa kama mkosi kwako usifanikishe masuala yako
Kila...
Ndugu zangu kama nilivyokuja kipindi kile na malalamiko yule bwana angu jamani baada ya ushauri wa hapa kweli nilijihidi kumuacha yule bwana maana nilichoka pia aisee, japo haikuwa rahisi
Sasa...
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.