Linapokuja suala la mapenzi tubalance waungwana Kuna vipindi vya ukomavu na kuwaelewa wanawake nimevipitia labda naweza kushare hapa
2011
Niko zangu chuoni nasubiria paper ya final jumamosi kama...
Habari wadau.
Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana.....
Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari...
Imekua ni kawaida kwa Dada zetu kutupanga kimadaraja. Kwa hivyo wameamua kutugawa kwa tabaka la pesa. Na kujiaminisha na kujisifia huo ujinga.
Dada zangu semeni tu ukweli kuwa nyie ni Malaya...
Habari!
Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda...
Ipo hivi kumekuwa na tabaka la wanaume wanao jifanya wao ndio wanamachungu Sana na wanawake.
Wakati huo kumekua na wimbi kubwa Sana la wanaume wanao umia na kuteseka kisa watu Kama Hawa .
Yaani...
Heheheee hii Dunia tushinde game za home zote ni hatari nina demu anampenzi na Mimi nina mpenzi. Ukimuuliza umenikubalije hapati jibu ila tunabutuana vizuri japo kanaubahili wa shoo. Alhamdulillah...
Wakuu, kumbe urafiki kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana tena bila kupigana kizinga au kutongozana. Nina rafiki yangu wa kike ambae nimejuana nae takribani sasa mwaka ni mtu wa mkoa flani...
Wasalaam,
Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3
Lakini kudeka...
Sex ni kwa Wazungu, Weusi Tunalazimishana tu
Chunguza sana hii. Ukiomba game kwa mpenzi wako mdada au mkeo mweusi ndio mwanzo wa sarakasi na visingizio visivo na kichwa wala miguu.
Unakuta (1)...
Unapokwenda kukutana na pisi kali yenye 'standard' ya kimataifa kwa mara ya kwanza; fanya yafuatayo:-
Hakikisha ngozi ya mwili imetakata, kutokana na kula vizuri
Hakikisha hauna kitambi au kisiwe...
Wakati flani, miaka kadhaa nyuma nilikutana na binti mrembo, mdogo na mzuri haswa, alikua anatokea kabila flani la watu wa kaskazini wale ambao wapo kama wazungu hivi. Alikua ana utulivu wa akili...
Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu.
Akizungumza Dr andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza...
Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao.
Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka...
Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo
Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika.
Nikitongoza kwa njia...
Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo.....
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili...
Habari wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kumekuwa na katabia asa kwa vijana wa kiume kushinda jim na kutafuta six paki kwa ajili ya kuwavutia kina mama, katabia aka...
Jamani mimi hata sielewi!
Ni kwamba hili ni tatizo au? na kama ni tatizo, nitalitatua vipi mimi nikipapaswa kidogo tu au nikiguswa hapa na pale na mwanaume, tayari nguvu zinaniishia, nakuwa...
Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.