Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
1. Anayekumegea lazima umjue 2. Kusingekuwa na siri katka mapenzi maana mkikamatana lazma watu wajue Assume umemkuta mke wako wameng'atana na jamaa yaani piga ua kuwatenganisha hamna mpaka jamaa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za jioni ndugu zangu. Jamani mi niko tofauti sana katika suala la aina ya mwanamke ambae ananivutia. Binafsi, napenda sana mwanamke awe na tumbo kidogo yaani lisiwe kubwa saana mpaka watu...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Shemej yenu utadhan amepandwa na kichaa wakuu.. sjui namfanyaje.. Nikwel anachotaka kina mantik na naona kabisa yuko ready... Ila mim sasa siko ready wakuu.. Nahitaj sana msaada kimawazo.. na...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Mwanamke anahitaji kuandaliwa sana katika tendo la ndoa kuliko mwanaume hii ni kutokana na maumbile yao, Mwanamke huchukua muda mwili wake wote kuamsha hisia kuliko mwanaume, hivyo nakushauri...
5 Reactions
70 Replies
12K Views
Niseme tu Kwamba sijakurupuka kuleta huu Uzi kuhusiana na suala Zima la wanaume kuchepuka nje ya ndoa zao. Hili suala nimelifanyia research ya kutosha kwa takribani muda wa mwaka mmoja na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Baadhi ya wazazi out of love or foolishness wanamuamini mtoto undoubtably wakimchukulia kama malaika mtoto hadi kufikia hatua ya kutokuamini baadhi ya makosa yanayoripotiwa juu ya mtoto au hatua...
1 Reactions
5 Replies
634 Views
Ukweli ni kwamba wanaume wote wanaamini kuwa watoto waliozaa na wake zao no wao lakini ukweli wanaujua wanawake Wanaume tunaishi kwa imani ambayo inaweza kua kweli au uongo ila wanawake wote...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini, Katika maisha yetu huwa kuna watu wanapenda, kupitiliza na akili ya upendo ukishindwa kuitawala hutopokea ushauri wowote kutoka kwa yeyote na kila atae kushauri lolote kuhusu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikua nae kwa muda wa miaka mitatu kwenye relation Safi wakati huo naishi nyumbani kwa walezi na kufanya mishe za hapa na pale nae anawa anaishi kwao pia na Ana kazi zake Nikawa namhudumia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana! Mie bwana nina shemeji/ wifi yenu ambaye nina kama mwaka mmoja hivi tangu tuanze mahusiano, ninaishi homu kwa dingi (servant quarter! umri wangu ni 25-27 bado nipo nipo!!)...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari ndugu wana jf Baada ya kutafakari kwa muda kidogo juu ya solution ya ugomvi na kukosekana kwa maelewano katika mahusiano na ndoa leo nimekuja na mapendekezo kadhaa Kabla ya kuanzisha...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, Natumaini mko sawa, leo nakuja na mada ya MMU ya kuuliza flan hv,nahisi ni umri kusogea au ulikua ulimbukeni wa ujana kipindi hiko. Ni ule utaratibu ukisafiri, unatamani...
1 Reactions
3 Replies
639 Views
Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja. Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake. Mgogoro wa pili...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeamka asubuhi nakutana na sms ya kumtumia kiumbe elfu sabini eti ana shida nayo! Sijui anatumia matope badala ya akili! Hiyo hela ya chap kiasi hiki naitoa wapi! Mahusiano yenyewe yana 2 weeks...
0 Reactions
13 Replies
907 Views
Umalaya ndani ya ndoa si kitu cha kujivunia na cha kusema sawa mwache afanye. Naona wadau wengi wanaona ni sawa kwa mtu aliyeamua kwa ridhaa yake mwenye kuoa kua malaya na kufanya dhambi ya...
40 Reactions
167 Replies
8K Views
Mimi binafsi ni kijana wa miaka 27 na mwakani ningependa kuoa ili pia kuwa na watoto mapema tatizo ni huyo wakuoa ni changamoto. Baadhi ya vijana wakileo tunapitia mambo mengi yanayotufanya...
10 Reactions
188 Replies
17K Views
Imefikia hatua nimeona ni bora nirudi nyumbani Mwanza, nikae wiki kisha nirudi jijini Dar, jiji la biashara [emoji23][emoji23] Katika pitapita zangu siku chache zilizopita, nilikutana na pic...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Ama kweli maisha yanaenda kasi sana! Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima? wako wapi hao wanawake? Hicho kizazi...
2 Reactions
17 Replies
932 Views
Back
Top Bottom