kwa jina la jmt, mnasalimiwa mno!
Kwenye mada:
Jamani ni mbinu gani, ni namna gani, ni kivipi naweza kumtokea huyu mwanadada ambaye ni bosi wangu wa kati?!!! Nimejikuta namuelewa mno, ananivutia...
Habari wanajamvi
Mimi ni mwanamke nina miaka 2, ni mpole, mkimya sio muongeaji sana.
Toka nikiwa o-level kila mtu ninayeishi naye lazima tununiane bila sababu ya msingi, nimeshawahi wauliza...
Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa.
Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka...
Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada...
Habari za muda huu wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Kwa wanawake nawakumbushia yafuatayo ili tuwekane sawa:
1. MWANAUME HAPENDI KUFOKEWA: Hata kama amekosea; jaribu kumuonyesha...
Habari za siku wadau
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile...
Wakuu nimepata kamanzi kapya aka kazee ka vizinga asee hata kama mwanaume ni jukumu lake kumuhudumia mwanamke ila hiyi too much
Siku ya kwanza namtokea tu ilikuwa mchana jioni ananiomba kama...
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana...
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.
Niambie tu...
Habari wakuu.
Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au...
Gesti house ndio kisababishi.. Kuzimu ndio kichocheo, tamaa za ngono ndio chanzo....
Kuna mada tumeijadili kwa mapana yake... Mada ya watoto wa kuzimu.. Jinsi shetani kupitia mawakala wake...
Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi? Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo...
Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona...
Imekuwa kawaida ya watu kuachana kwa fujo, magomvi na wakati fulani matusi, lakini Kuna namna unaweza kuitumia mkaachana bila ugomvi wala kuparurana kama hivi...
Bongo Hapa Unakuta Mama mtu mzima miaka Kama 30+ lakin hanashindwa hata kununua Godoro la 150k anachoweza Ni kumiliki infinix toleo la 2019 .
Mtu umri umeenda kapiga 30 maji ya jioni badala...
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu...
Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate...
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? Nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]
NB: Linda aliyetajwa humo na...
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.