Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ngoja mje kutuletea visa vyenu.... Miaka kadhaa iliyopita kipindi nakua kua, zawadi hii ilitokea ghafla bin vuu kwa upande wangu, lakini issue ilikuwa planned na marafiki zangu pamoja na yule...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari Wanajamvi? Naandika huu uzi nikiwa sina rahaa kabisa kwa tukio lililotokea leo asubuhi saa 4 asubuhi. Story inaanza hivi baada ya kumpiga kibut handsome aliyenigegeda mpaka nikaomba pooh...
40 Reactions
606 Replies
40K Views
Na ndipo napata kuamini kwamba kumbe hata mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anaweza kuolewa vizuri tu! Kikubwa ni ku fall in love (Sina maana kuwa thirty plus mjipe moyo, ila ni kwa vile...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize. So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na...
0 Reactions
12 Replies
499 Views
Za muda huu wanajamvi... Asubuhi hii nilipanda dala dala na kwa bahati mbaya nikasimama sana kwa kukosa seat. Route ilikuwa ndefu, kutoka K/Koo mpaka Mabibo. Kwa bahati nzuri nikapata seat baada...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi, nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa...
21 Reactions
85 Replies
5K Views
Jana nilibahatika kwenda kwa Dokta X aambaye kila Mtu nadhani anamjua anajinasibu kuwa anatibu Matatizo ya uzazi na hata Msanii mmoja ambaye yupo katika msiguano na Basata alishamfanyia Promo...
20 Reactions
66 Replies
4K Views
Nipeni mbinu wazee Kuna mtoto nataka kumtafuna siku hizi ila sijui jia gani nitumie kabisa. Huyu mtoto nilimtongoza mwaka 2017 mtoto akanipiga Chini Kweli. Nikampotezea kabisa. Sasa mwaka huu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Samahani kwa kutosalimia, kama mnakumbuka niliwahi kuleta kisa cha kuzaa na huyu mama ambaye ni mke wa bosi fulani jina kapuni!! Ni hivi ninaona ni ngumu mno mimi kumuacha. Hata mngekuwa nyie...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu? Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi...
24 Reactions
146 Replies
12K Views
Kuna malalamiko mengi tunayasikia; Unajua kuna wanawake ni wakali sana ukigusa simu yake ni kama mbogo kabisa, kila siku mbili anabadili password. Siku akikupa simu unakuta 1. Ama kawablock...
5 Reactions
87 Replies
13K Views
Alietuumba nauhakika alituwekea hako ka dude ka hisia zisizokwisha kwa hawa watu kwa makusud kabisaaa Hawa viumbe wameumbwa jaman..Halaf mbal na kuumbwa.. anaweza akawa wa kawaida tuu na akakutoa...
2 Reactions
8 Replies
586 Views
Aisee kama zari alfajiri hii kumi na moja ya leo kushituka napokea sms ya kuombwa buku tano na manzi flani hivi ya mtu, mtoto mashalah kama pisi ya willium kiasi kwamba nilikuwa nahofia sana...
54 Reactions
174 Replies
12K Views
Tunachumbiana na kuwa kwenye Ndoa na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao Ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu bwana mko salama ? Nimewapa taarifa nafurahia sana Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize Upsala University...
14 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari za Muda huu wakuu. Nina Imani mapambano ya kuusaka mkate bado yanaendelea kama kawaida. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nilitembelea wilaya fulani Mkoa X kwa ajili ya field...
10 Reactions
58 Replies
6K Views
Jaman habiri zenu ...! Jaman tuendelee tu kukumbushana kuwa mwanamke hataniwi . Ipo hivi nimekua na utani na wanawake kadhaa japo Mimi ni mme wa mtu na wao wanalitambua hilo kwa sababu katika...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Usije ukajiongopea ku date na mzungu akupende ajitolee mda wake halafu baadae useme unam-dump, kama una mali umefilisika. Hawa sio kama Wabongo ambao tunaamka asubuhi unamwambia kuanzia leo mi na...
15 Reactions
74 Replies
7K Views
Baada ya jana kutua Bongo Leo Nimeenda saloon kunyoa, maandalizi si unajua tena, baadae naambiwa vua shati na vest tufanye scrub ya mgongo! Ha! sasa mimi nimekuja kunyoa nywele, hilo suala la...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wanawake na wanaume Unakumbuka siku ya kwanza kufanya mapenzi ilikuaje? Mimi nakumbuka hadi leo, nilikua nadhani 4m4 (nimechelewa sana kuanza haya mambo) mwanamke mmoja alipelekwa geto na...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Back
Top Bottom