Wanawake wanatofautiana sana kwa namna fulani fulani. Utafiti binafsi ulijikita zaidi katika kipindi maalum. Na matokeo yalionyesha:
Kipindi cha hedhi; asilimia kadhaa ya wanawake huwa na miamko...
Demu bwana kaniagaa ooh Mimi naenda kwa mjomba so kuonana na wewe labda kesho, basi nikamwambia msalimie Sana Mjomba japo anifahamu.
Basi muda ukapita txt zake zikawa nyingi mara anisifie...
Siku ya Leo nitazungumzia juu ya madhara ya marafiki wabaya na kuwa nao katika maisha yako. Kwa kawaida katika maisha Kuna rafiki mzuri na rafiki mbaya ,sifa za rafiki mzuri ni kama kutunza Siri...
WANAUME WANA MAUMIVU PIA
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi...
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa...
Tubadilike mtu akishaoa au akiolewa waacheni waishi maisha yao,watu wameoana tayari mshaenda kujazana kuishi hapo mara bibi,sijui shangazi, sijui shemeji, acheni wanandoa waishi kwa uhuru...
Hali zenu,
Takribani miezi 2 iliyopita nilikutana na huyu dada, alikuwa na shida ya 3000(ni kawaida kwa maisha ya uswazi, japo siishi huko). Hivyo akaniomba nimsaidie hicho kiasi na ukizingatia...
Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu
Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza...
Haiwezekani unaishi na mke ndani lakini hupati raha ya mapenzi
Kila ukitaka kugegeda wewe ndo uanze kubembeleza utadhani mmetongozana Leo,wakati mna miaka mingi mko pamoja na watoto mmezaa
Mke...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ukitaka stress basi fanya hivi, utachoka...
Ukidate na msichana ambae ametoka kudate na mvulana ambae alimtoa usichana wake na wakaachana ndo akaja kwako...
Wasalamu,
Bila kupoteza muda kwanza mimi kijana mwenye umri wa miaka 28 sijaoa hadi mpaka leo japo kimaisha siko vibaya kivile namshukuru Mungu kwa hilo. Sijaoa kwa sababu ambazo hata mimi...
Wasaalam
Wakuu,
Leo asubuhi nilidamka mapema , wakati huu nilikuwa natoka kibaruani wakati najongea mdogo mdogo nyumbani nikapanda hewani nikampigia Mama, naam mama daVinci XV ,Nilimpgia asubuhi...
Kuna dada nilionana nae mitaa fulan hivi ya beach, mambo yakaenda fasta mwisho tukaishia kulala ila ajabu kwamba yeye kote ni fresh umuone ila maziwa yake ndo anaona aibu eti, mi nikajua masihara...
Kama mnavyojua Utumbo ni mtamu sana sio "Deodenum, jejenum wala ileum"
Hapa nazungumzia ule unaofuata baada ya ileum namaanisha ule unaoshuka yaani Rectum kuelekea kule chini.
Kweli ni mchafu...
Kwetu tumezaliwa wanne, wa kwanza n dada angu ambae kwa sasa anasimamia duka la mzee la vinywaji vya jumla,
Sasa amekua mbinafsi sana kushare na sisi wengine hizo faida maana mzee yani hilo duka...
Ni mwanamke mnene sana! ametokea kunipenda! Kila akiniona ataanza kung'ata lips za mdomo wake! mara kucha za vidole vyake! Mara anioneshe tabasamu la hisia kali n.k
Umbo lake tu ndo linanifanya...
Habari wadau.
Maada yenyewe leo nashare na ninyi adha fulani niiptayo kabla ya Kudo. (Angalizo hii imekuwa ikijitokeza kwa kila mwanamke naekutana nae toka nianze kubarehe)
a) Kubaki na Harufu/...
Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike. mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.