Mwanzo naanza nae mahusiano alikuwa anajikakamua kidogo kuendana na kasi ya mchezo mpaka ikafikia wakati nikawa nasema huyu binti nisipokula vizuri ipo siku atanipiga K.O
Lakini mara tu baada ya...
Naamini muwazima wanajamvi
Niende kwenye mada yangu juu ya huyu demu wangu na hili neno lake.
Mi nademu Wang mmoja hv mrembo mashallah[emoji1488][emoji1488], ananikubali namkubari lkn ni muda...
Ndugu zangu, katika maisha kuna wakati tunapitia changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwa pamoja na mapenzi.Nilimpenda dada mmoja kwa dhati kabisa, lakini upendo toka kwake ulikuwa kama...
Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na...
Episode 1.
Nikiwa bado binti mdogo ambae hata bado sikua nimewahi kushare kitanda na mwanaume, nilikua nipo form five nikiwa likizo nilikua napenda kwenda library ya mkoa pale dodoma kujisomea na...
Hope mko poa,
Aisee kuna jambo nimekaa nalo moyoni mda mrefu sana kuhusu mtoto wangu wa kwanza wa kiume, nilimpata nikiwa na umri wa miaka 16 tuu.
Ipo hivi mwaka 2008 nilikua form two sasa...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na...
Hili swala nimelifanyia uchunguzi, Yani hata kama mdada hajavutiwa na wewe na hakutaki, ukimtongoza hlf akakukataa tena ile ya kikatili na ya kiroho mbaya bila sababu maalumu, rohoni huwa...
Maisha ya mapenzi siku zote huandamwa na vikwazo vya hapa na pale kutoka kwa mpenzi, mme au mke husika ama kutokana na uchonganishi wa watu wake au wako wa karibu!
Naomba tuzungumzie, ni kosa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ninapenda kujua tu Kwa upende niliokulia mimi sio sawa kwa mtu ninayemzidi umri kuniambia UJAMBO bali hii salamu ni kwa ajili ya mtu mzima akimwambia mtu mdogo...
Wakuu,
Nisiweke maelezo mengi sana. Kama wewe unapanda Mwendokasi, nadhan pisi za mule mnaziona zilivyo kali.
Yani usipokuwa mvumilivu unawezajikuta unachukua namba za dem mpya kila siku.
Hapa...
Wakuu habari zenu!
Aisee kuna dada tumefahamiana wakati yeye akiwa katika harakati za kuuhesabu na kuweka postcode katika makazi! Alinikuta home nimechill tuukapiga story 2,3, na kubadilishana...
Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda...
Tunatakiwa tujifunze na tuheshimu hisia za mtu; pale tunapokataliwa tuwe na subra ya kusubiri kitakachojiri.
Kwa asili ya binadamu, hapa utakataliwa na kwingine utakubaliwa; na hii inasababishwa...
Huyu dada ndo amenambia hayo maneno. Baada ya kuniomba tena leo kwa mara nyingine lunch twende wote. Jana aliniomba twende lunch akalipia akaomba kulipia pia. Tulibishana sana na akawa mkali kuwa...
Jana nikiwa kwenye daladala aliingia mwanamke mmoja hv wa kiislamu hakika ni mashaallah,alikaa pembeni yangu na harufu ya udi aliyojipiga ilinivutia sana nikatamani kama safari isiishe hadi...
Hawa alipata alipata danga, w alikutana kwenye kijiwe cha chips kwakua alitoka kazini na kukumbuka nyumbani gas imekwisha aliona ni kheri ale chakula cha jioni na ya gas ata ya solve kesho yake...
Habari wapendwa wa jukwaa la MMU.
Mada yangu leo kwa nini wanawake mnapokosewa na wapenzi wenu ama waume zenu mnapenda kuwaadhibu kwa kuwanyima kipande cha mwili ( Papuchi)?
Hii mie naona sio...
Mwaka 2014 nilipata safari ya kikazi Mbeya, Baada ya (TBA) kishindwa mradi wa soko la Mwanjelwa ilabidi tuingie mzigoni kukamilisha mradi huo.
Wakati tunaendelea na ujenzi huo ikatangazwa tender...
Mapenzi huwa hayachagui, unakuta kijana amefika amekwisha kwa dada wa kazi. Mara nyingi mama akisikia habari hii huwa anaona kama inamshushia heshima katika jamii inayomzunguka.
Wengi wanapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.