Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
yapata miezi miwili sasa rafiki yangu watengane na mchumba wake. chanzo, mgogoro ulianza july mwaka jana mchumba wake alipoombwa waonane akadai yuko bize, akamfata mkoa alipo ili waonane...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Salam. Juzi nilitaka huyu mwanamke aende mahali kutekeleza wajibu fulani akasema haendi hajisikii kutoka. Nikaumia kidogo lkn nikamezea. Baadaye akaniuliza "mahali kwenyewe ulitaka niende...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Stori ipohivi hapa tulipo kuna kabinti kazuri (22yrs) kamehamia hapa nikatokea kukaelewa nikakapanga kanaeleweka mara hakasomeki na anasema ana mtu wake mimi sikuona shida maana hata mm sina shida...
21 Reactions
50 Replies
4K Views
Naomba nikuulize msomaji huwa una kabiliana vipi na hali Kama hii. Iko hivi, wakati tunasoma chuo kikuu Kuna wadau inaweza pita ata miezi 3 hamjawahi salimiana sio mna ubaya la hasha. Wengine...
4 Reactions
12 Replies
786 Views
Jamani naombeni mnisaidie mbinu za kumsau ex Yaani nilikuwa nimeshamsau kabisa ila cha ajabu leo nimeshangaa amerudi tena katika moyo wangu nimejikuta na mkumbuka na moyo wangu umekosa furaha...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wakuu, Msaada wenu kimawazo. Mama watoto wangu aliniomba hela ya mchango wa harusi kwa baba yake mdogo nikampatia 10,000/- Akaniuliza ndio hii hela ya mchango ulioniachia? Nkamjibu ndio...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Frank ni mtoto wa mwalimu na baba yake alimkazia sana kwenye elimu yeye na ndugu zake. Kwa miaka yote wakiwa shule ya msingi baba yao hakuwahi kwenda kunywa bia bar, alirudi nyumbani na kuoga na...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda...
11 Reactions
55 Replies
5K Views
Natamani kwenye hii miaka yangu ya 40+, ningekuwa na watoto wawili wenye miaka 20+. Ambao ningeongozana nao, na kuonekana kama mtu na kaka yake. Ingependeza sana. Sasa mambo yamekuwa tofauti; kwa...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Samahani wanaume wenzangu katika kikao cha mwisho nilichohudhuria tulikubaliana kua ni marufuku kumsomesha mchumba, labda sana sana kumpeleka tu ktk yale mafunzo ya cherehani. Sasa swali langu ni...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Shemej yangu uyu Nadhan kuna siku nilishawahi kumzungumzia humu siku za nyuma[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41974550...
25 Reactions
149 Replies
10K Views
Habarini za usiku huu wana jamvi, Kwa Mara ya kwanza nimeamua kuandika Uzi huu kwa tukio ambalo nimelishuhudia mwenyewe usiku huu. Nipo hapa mjini Morogoro kikazi na nimefikia katika lodge moja...
3 Reactions
20 Replies
11K Views
Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha...
25 Reactions
80 Replies
7K Views
Salam! Hali hiyo tu hapo juu ndiyo chanzo kikubwa cha mimi kuzaa na huyu 'jimama'. Frankly napenda na kuvutiwa sana na wanawake warefu wenye matumbo laini na nyama zinazoning'inia, na kitovu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Huyu ndugu yangu ambaye kwangu ni kaka, alikapata kadem kakiwa kidato cha nne kakawa kamefaulu ushindi wa kukapeleka vyuo vya kati. Jamaa akafanya mpango, akakatafutia shule ya private, kidato...
11 Reactions
80 Replies
6K Views
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa na shughuli mbalimbali za kuhakikisha mafuta ya kupikia hayakosi ndani! Ila hili jambo la baadhi ya wanaume wenzetu kuendekeza zaidi tendo la ndoa katika...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom