Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba...
12 Reactions
97 Replies
6K Views
Sijui ni ugonjwa wa phonephobia mazoea wivu wa mapenzi au kutaka attention, Mungu ndo anae jua, ila siku ya leo nime chukua uamuzi mgumu baada ya kufikiria sana ni memuondowa wife kwenye...
8 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari za weekend wadau? Namtafuta mdogo wangu/rafiki yangu Swaumu Juma, tulikutana Morogoro nyumbani kwao, 2020 kipindi anasoma chuo, mie nilikuwa nafanya kazi kwa muda. Yeye alikuwa anasoma...
0 Reactions
3 Replies
512 Views
Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwanza niseme wazi hili ndio tukio lililochukua muda mchache zaidi kuliko vile nilivyotegemea kuwa, Kwanza Zero na dressing code zangu,"wengine waliita za kinyalu" Nimetinga ukweni na kumkuta...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini wakuu naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Niko na mahusiano na mwanamke mmoja ambaye mahusiano yanaenda miezi...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata...
19 Reactions
78 Replies
9K Views
Salaam! Tupo room muda huu na mpenzi wangu, analia hapa na kajilaza. Sababu kuu ni kuwa nimekataa ani massage. Alitaka anifanyie ya mwili mzima, yaani nilale kifudi fudi aone makalio yangu...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Wasalaam Nilikuwa na manzi wangu nikiishi Ubungo Riverside by then, yeye akiishi Mbezi Kimara. Alikuja kunivuruga na chanzo kikiwa ni issue za kutoaminiana, aliniomba msamaha lakini nilikuwa...
13 Reactions
46 Replies
4K Views
Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba. Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini? Wakitoka nje...
21 Reactions
131 Replies
12K Views
Kuna msemo usemao dalili ya mawingu ni mvua. Sasa hebu tuambiane ukweli, pale unapogundua kuna dalili za kuachwa mpenzi wako au kuchokwa -- huwa unachukua hatua gani?
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Panya Road nia zao mbaya ni pamoja na kuiba, kupora, kusumbua jamii na kuuwa. lakini panya road wanafanya hivyo kwa direct way. yani watakuwa presentable kwa kile kibaya wanachofanya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo. Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona...
24 Reactions
52 Replies
13K Views
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao. Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku za karibuni kumeibuka kampeni isiyo rasmi inayoelekea kuwageuza wanawake wote wasio na upeo wa kuelewa mambo kuwa makahaba. Siku hizi imekuwa kawaida kukuta mijadala ya kuaminisha wanawake...
27 Reactions
82 Replies
6K Views
Baada ya muda mrefu kupita leo niko njiani naelekea ukweni kuonana na baba mkwe kwa mara ya kwanza ili kujitambulisha na kujuana nae. Naombeni mnipe info kipi cha kuzingatia punde tu...
9 Reactions
90 Replies
4K Views
Pretty nyarwanda girl told me once that it is big pleasure for man to make her ejaculate and she can ejaculate a lot of vaginal fluids ,and she can spray like urination. It is there culture in...
1 Reactions
1K Replies
232K Views
Mmependana na mtu amekua mpenzi wako na mnaenjoy life. Mmechukua hatua ya Imani mmekua mke na mme na maisha yanasonga Kwa amani na furaha. Ghafla mambo yanachange, mmoja anaanza drama na...
3 Reactions
18 Replies
840 Views
Hilo neno linanitatiza sana,maana najua mahusiano ni mapatano ya mwanamke na mwanamke,kujamiiana ni makubaliano ya wote wawili. Kwanini wanawake wawe na neno la kutumiwa? Nisaidieni
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom