Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu natumaini hamjambo naomba ushauri nichukue maamuzi gani Kuna binti amezoea kunipiga vizinga ilhali sina mahusiano nae ni ile tu kujuana kishikaji, mbaya zaidi anakuingizia uongo ambao muda...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika utafiti mdogo nilioufanya kwa warembo wakali saba, nimekuja kugundua; mwanaume anayeweza kulipa 'bill' pamoja na kuwa na uwezo wa kulizungusha gurudumu vizuri; ndio hupendwa zaidi na...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya. Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Habarini!. Kuna mdau humu amenishtusha na uzi wake, analalamika kuwa alilipata jimama akawa analihonga elfu tano kila siku ya matapu tapu. Sasa nikawa najiuliza hii imekaaje? Nikaona nisiache...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini za wakati huu wadau na Wana JF.... Natumai mko vyema. Naomba nieleze kisa kimoja au viwili na ambacho kimenifanya niandike hili. Miaka kama 8 kadhaa iliyopita nikiwa Masomoni mkoa...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwema humu... naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari ako mwanajamii mwezangu , pia pole na majukumu yako. Wiki kama 2 au 3 zilizopita niliandaa uzi mmoja unaohusu mm na mpenzi wangu , kwa wale wanaofatilia uzi wangu uliopita watakuwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii ni real story: Una ka small house, unakagharimia kila kitu kodi, chakula, umeme, maji mpaka usalama umemwekea Knight Support na biashara nzuri tu umemfungulia na gari juu(Harrier). Huyo bi...
3 Reactions
98 Replies
11K Views
Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Wikiend iliyopita, nilikuwa nimejichokea kiaina; nikaona bora niende zangu 'club' moja ya karibu angalau nipate kinywaji kidogo, huku nikiburudika na mziki pamoja na kuosha macho kwa watoto...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Don Williams "I've Been Loved By The Best" lyrics Darling, if you ever leave me Well, I'll just put my heart away I couldn't love again, believe me No one could please me anyway And if another...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana MMU kwema? Kuna jambo limenitatiza nikafanya maamuzi ila likanilazimu nililete hapa nione ushauri wenu. Ni ivi kuna kijana mmoja tunafahamiana kwa mda mrefu ni just a friend ananiheshimu...
1 Reactions
99 Replies
9K Views
Mazee Tuelewe kwamba One thing everybody is capable of cheating . Kwa Maana KAmBa What u see happening in the office and at the workplace with ur female colleagues is what happens at ur wives'...
17 Reactions
171 Replies
12K Views
Si kwa muktadha wa kimapenzi ama hisia za kufikirika, zile tamanifu zenye kuleta mvuto wa hisia za mahusiano ya kingono... Zile za kusema you stole my heart - umeiba moyo wangu....! Haya ni...
7 Reactions
63 Replies
7K Views
Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida , ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38 mkaazi wa Mbezi ya Kimara jijini Dar Es...
13 Reactions
288 Replies
60K Views
Habari wandugu, Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana. Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada...
17 Reactions
101 Replies
7K Views
Habarini Wadau, Huyu ni Sheikh ninayemkubali sana kwani hana Unafiki. Pia hana muda wa kuendekeza chuki kwa wasio waislam. Pia yupo wazi kuelezea hisia zake kwa aina ya Wanawake anaowahitaji...
29 Reactions
192 Replies
24K Views
"Niliwahi kuwa katika Mahusiano na binti flani ambae nilidumu nae katika mahusiano kwa mwaka mmoja na nusu. Sasa baada ya miezi 7 ya mahusiano kuna siku huyo binti aliniambia ana mimba, kwa kweli...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Tafsiri yake ni kufanya ngono, wengine wanaita tendo la ndoa. Sio kukutana kiroho ni kimwili, makutano ya kiroho ni huru na hayana mipaka. Hisia za matamanio ya kingono hayakamiliki bila...
12 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom