Nimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna...
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu
sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila...
Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa...
Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi...
Wakuu habari zenu.
Kichwa cha habari kinatosha, naomba mcomment mniitie huyu dada nampenda sana na anajuwa nimemfata DM Mara nyingi lakini sipati majibu ya kuridhisha yawezekana kwa sababu ya...
Habari za wakati huu wakuu. Rejea hapa kwanza[emoji116][emoji116][emoji116]
Wakuu picha zima liko hapa Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana
Ikumbukwe bado nampenda kama hiki...
Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi.
Je, nina...
Sasa nina miaka 34, nipo na binti wa Kiislam nliyefahamiana nae Zanzibar huko miaka 5 iliyopita, ananipenda sana nami pia nampenda sana na kitu kizuri familia yao sio wabaguzi na wananifaham...
Yes nyie wanaume nawauliza!
Ni kwamba unajiamini sana? Hata hujui hiyo rent huyo mwanamke analipiwa na nani? Unawasha na tv flat kuubwa ukutani unaangalia mpira wa ulaya,[emoji3064][emoji3064]...
Mimi ni mtaalamu wa kudili na watoto wachanga day 1 up to 3yrs kwenye maswala ya bidhaa zao.
Mtoto atumie diaper gani kwa umri wake?
Atumie maziwa gani ale chakula gani etc
Kwaiyo kama kuna mtu...
Habari za usiku wakuu..
Kiuhalisia kijana wenu katika Hali ya kubalehe nilijikita zaidi kwenye suala la masturbations (punyeto) nikiamini Ndo nimemaliza maida upande huo sikujua natengeneza Bomu...
Nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu kwa kuifungua nchi na kulinda legacy ya mtangulizi wake.
Iko hivi, naishi na mwanamke ni tumeokotana tu mtaani tukapendana tukaamua kuishi pamoja.
Huyu...
Huyu mwanamke ndo wa kwanza kabisa mimi ku sex naye akiwa ni mwembamba. Binafis nimekuwa nikipenda wasichana wanene, wenye hips, huo ndo ugonjwa wangu sana, yaani nikiona wa hivyo nachanganyikiwa...
Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na...
Poleni na majukumu ya kila siku, ripoti ya CAG ni kituko sana. Yote kwa yote mimi ni mwanachuo nasoma chuo X katika jiji la Dar Es Salaam.
Lakini kwa wanaume wenzangu nadhani mnajua kuwa Kuna mda...
Habari zenu ndugu zangu. Naenda kwenye mada moja kwa moja[emoji116][emoji116]
Ni kawaida kukuta mzazi wa kiafrika akitishia kumfukuza kijana wake wa kiume kisa bado hajaoa au kakataa kuoa
Sio...
When I see some women complain that their guys are seeing other women despite the fact that they are attractive, it perplexes me. They've tried everything they can to reclaim their men's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.