Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Akunaga kitu ambacho kinasumbuwa moyo kama kuachwa Na mtu ambaye alikuwa ana kupenda saana Alafu ukawa una mchukulia poa baada ya kukuacha Sasa ndo unaona umuimu wake aliye sema mwanamke sio...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndinkafu! Baada ya kuona Joka langu likiwa limetuna kwenye kaptura kaanza mazoea. Wiki ya pasaka tulitembelewa na Dada wa mke wangu hapa nyumbani, juzi Jumanne Asubuhi wakati natoka niende kuoga...
17 Reactions
77 Replies
10K Views
Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?" Je, ni a)- kupiga msosi mzuri? b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri? c)- kutoka out na marafiki? d)-...
1 Reactions
2 Replies
722 Views
Wazazi acheni hizo! Yaani mko serious munawahimiza mabinti kusoma kwa bidii wapate, ajira! Yes, ni jambo jema, shida Ni pale munapowapa sababu eti wasitawaliwe na waume wao kwenye ndoa! Munawapa...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Hakymungu mnanionea,nyinyi Hivi kusema kwamba nawewe ulikuwa huna baba ambaye ni mwanaume kama mimi, je mama yako angamfanyia haya haki si angekufa kwa presha ujanani tu yule mzee?? Au huyu...
9 Reactions
93 Replies
42K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri mliopo kwenye relation kwa muda mrefu kiukweli kabisa namuonea wivu sana girlfriend wangu hususan kwenye kumuamini simuamini hata kidogo ila sijawahi mfumania wala...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Nakwenda kwenye mada directly! Siku zote huwa sitaki na nakwepa kuangalia sehemu ya kutolea haja kubwa ya mpenzi wangu, na hata mke hapo mbeleni nitakwepa. Siku zote nimekuwa nikitumia mitindo...
29 Reactions
192 Replies
15K Views
Imekuwa ni ndoto ya vijana wengi kuja kumiliki familia yenye upendo,ushirikiano na mshikamano kwenye Hali zote. Lkn ndoto hizi huwa zinayeyuka baada ya kuingia kwenye ndoa na kujikuta wanaambulia...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Aisee imenitokea hivi karibuni wife ameniacha na kuondoka kurudi kwao kisa sina pesa lakini ushawishi mkubwa wa kuniacha kapewa na mama yake . Eti anamwambia akatafute mtu mwingine sababu mimi...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chahusika vizuri tu. Kuna siku niliamua kutafuta demu fb. nikapata pisi moja kaleeeee. si nikaitongoza ikakubali. akanipa no zake za whatsapp tukatoka messenger tuka ruka hadi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Hali gani? Wanawake wengi wa kitanzania wana unafiki na ubinafsi wa hali ya juu ndani yao. Hili nimelithibitisha yapata miaka 3 sasa. Wengi wakiumwa wao wanataka kuhudumiwa na kupewa attention na...
59 Reactions
197 Replies
12K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.! Naamini kila mmoja yu salama akiendelea na harakati za maisha, kwa wale wenye changamoto kadha wa kadha za kimaisha basi Mungu akakutetee. Leo nimependa...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawatakia sikukuu njema Jf Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke. Kwa...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Membes wa JF hi! Nipo Dar Ubungo external. Kwa muda wote nilioishi hapa nimesikia Sifa nyingi hususani za hawa dada poa wanaojiuza, mimi siko interested Sana na hawa watu, hasa wale maarufu wa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini za jioni ndugu zangu! Ndani ya hii january ulitokea mkanganyiko kati yangu na mpenzi wangu huyu binti ni mwenyeji wa kigoma (mzawa) na anaishi huko na nilimpatia hukohuko nasema wazi...
26 Reactions
157 Replies
21K Views
Wakuu kwema? Aise mwaka huu kwenye mwezi wa tatu kuna dada nilikua nae kwenye mahusiano nae tokea mwaka jana mwezi wa 9 sasa kila nilikua namuomba sex alikua anaonekana kuogopa sana Age yake 24...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu...
40 Reactions
496 Replies
19K Views
Bila kupoteza muda niende kwenye mada! Mwaka 2016/2017 nilikutana na binti akiwa anafanya biashara yake Fulani maeneo fulani ndani ya jiji... Wakati huo nilikuwa napigika kuandika dissertation...
126 Reactions
242 Replies
17K Views
Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja...
19 Reactions
135 Replies
11K Views
Back
Top Bottom