Kweli hakuna anayefurahia kuachwa. Mapenzi yanauma, wakati mwingine hasira zinaweza kutuongoza katika kufanya maamuzi lakini suala la msingi linalopaswa kuzingatia ni kujidhibiti. Lazima tujifunze...
James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita.
Jamila alijifungua...
Habari za saa hizi watumiaji wa mtandao wa jamii forums.
Leo nimekuja kuwaelimisha, kuwapa elimu ya bure juu ya suala ambalo limekuwa likipotoshwa sana katika jamii yetu na reflection ya...
Wadada smart tunawapenda sana, na tunathibisha mna utamu wa kipekee; popote pale pongezi ziwafikie.
Changamoto kubwa mliyonayo; mnatutesa sana sisi wanaume; hela haikai, muda wote tunapokuwa na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama hakuna aliyejaribu kujinyonga, kunywa sumu, kujirusha baharini, ziwani, mtoni, kwa ajili ya mapenz yako au kukupenda tambua hujawahi...
Hapo patatosha kweli?
- Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi
- Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe?
- Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1...
Tafiti fupi ilofanyika
Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa
Mwaka 1960-1970
Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani
Mwaka...
Habari wana MMU naimani ni wazima, unajua sisi vijana linapokuja suala la kuoa, unaoa ulipopenda, ila shida inakuja endapo familia yako mwenyewe ni ya kimasikini, wewe mwenyewe ni masikini kwani...
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha.
Ila alichonifanyia...
Wamejaliwa, wamebarikiwa.
Dada zenu wa migombani wameshajua hili na wanachangamkia fursa haraka. Ni wasomi kusini nzima (Wamwera na Wamakua). Nina mifano mingi sana ya hili.
Anyway karibuni...
Habari zenu nyote. Wakubwa shkamooni, wadogo kama kawaida!!
Naomba nielekee kwenye mada lakini naanza na mfano. Kuna mkoa huwa napenda kutembelea anytime katika mwaka. Nimeshatembelea mara mbili...
Nimeishi na mpenzi wangu karibu miaka mitano na tumepata mtoto mmoja ana miaka miwili, nampenda sana mpenzi wangu, ila sasa hivi yupo kwao tanga karibu mwezi sasa ameenda kumuuguza mama yake.
Ila...
Tuna kama mwaka mmoja na sehemu na ana mimba kubwa tu takribani miezi kama mitatu imepita toka tukubaliane kutogusa simu yangu baada ya kuanza kunidhania vibaya kuwa yawezekana nachati na wapenzi...
Hivi kwanini? Mimi nimekuwa na roho ya kusamehe sana? Kwa mafano mtu akinitendea kitu akisiema tu samahani ananivunja nguvu mtu ata kama yeye labda kajishusha kwangu au tulizinguana nashangaa...
Kama wewe ninkijana unasafari na ndoto zako na una tamani kufika mbali basi nakukumbusha ni ndoto za vijana wengi kabla yako zilikufa kwa sababu ya kutoa huduma za kimume wakati bado ni marafiki...
Kitambo kidogoo...
Muda mchache majukumuu kibaooo
Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa....
Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa...
Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu...
Mikonoo, uso...
Poleni na majukumu ya hapa na pale..
Mimi ni mwanaume nilie kumbana na adha ya usaliti baada ya mchumba wangu kunisaliti na mtu mwingine. Cha ajabu nilimpenda sana ilabaada ya kunisaliti ile kiu...
Salamu humu jamvini!
Nimesikitishwa sana, na hii ndio model ya wanawake tulio nao. Leo nimejua kwa nini huwa wana mute kuitikia salamu.
Hivi mtu humjui hakujui unapata wapu ujasiri wa kumletea...
Vitu ambavyo vinashangaza kwa upande wa ndugu zetu waislamu kuna mda mnafunikaga kombe ili mwana panya road kupita.
Katika imani ya kiislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa au kabla ya ndo huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.