Kuna vitu vingi sielewi kuhusu mademu wa Arusha.
Hawa mademu wa Arusha wanashida gani?
Nipo nakunywa kaunta hapa Kuna demu ndio yupo kaunta. Nimemchombeza kidogo kajimwambafy kinoma na kaniwekea...
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source...
Nasalimia kwa adabu zote stahiki. Bahati mbaya kiswahili chetu hakijawa na salama "universal" na mjadala wa "shikamoo" hatujawai kuufunga!
Ila bado napigia chapuo...salaam aleikhum!
Humu JF ni...
Huyu ni mdada ambaye huwa nafukuzia ila kwa sasa anakaa Lindi Mjini Ghana Street. Sasa Leo asubuhi kanipiga kizinga cha buku tano namm kwa kuwa nina ugeni wa Dada zangu kichwa kina mambo mengi...
Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako...
Love starts with a hug, grows with a kiss, and ends with a tear.
Vladimir Vladimirovich Putin alifunga pingu za maisha na mkewe Lyudmila Aleksandrovna Ocheretnaya mwaka 1983 akiwa na umri wa...
Sasa ni zamu ya moyo wangu,maana figo na mapafu ulishaviteka!
Penzi lako ni kama hewa safi ya oxygen, inayopita katika viunga vya mwili na kuupa uhai uliotukuka!
Ucheshi na ukarimu wako ni tuzo...
Tumekuwa tukiwasema sana masingle mother kwamba wakikutana na wazazi wenzao huwa wanapasha kiporo hata kama ameolewa kwingine.
Mimi katika uchunguzi wangu ukweli ni kwamba mwanamke yeyote...
Hii ni independent study yangu.
Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya...
Habari za siku nyingi wana MMU?
Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea...
Habarini Wana Jamvi.
Nimeamini kweli Mke Wa Mtu ni sumu jamani, lilichonikuta mwenzenu basi nimekoma.
Picha Ilikuwa Hivi.
Week Iliyopita Nilipata Dili Furani Kijijini, Baada Ya Kufika Kule...
Ijumaa Kareem!
Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema...
Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki...
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.
Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao...
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu
Rejea mada apo juu:
#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa...
Nice guys wengi hutokana na malezi, maybe kalelewa na mzazi mmoja wa kike au wazazi wote, lakini baba yake naye alikuwa nice guy, kwahiyo mtoto lazima arithi unice guy.
Kutokana na malezi, nice...
Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana,kila kundi la binadamu huongozwa na tabia tofauti tofauti,hebu chukulia huu mfano,hujawahi kuta kuna kijana ametoka familia ya kitajiri tu yenye uwezo na ana...
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na...
Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa.
(Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story)
Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT...
What is the refractory period?
Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee
After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.