Tunakutana na watu wengi, tunatamani kujiusisha nao kingono. Mara kadhaa tunasikia mtu na mtu wamenasana au baada ya kula mzigo sehemu alifariki au kawa kichaa na kadhalika.
Maana kiuhalisia...
Wadau kwema embu naomba mliwahi ku date na wadada toka nje ya bara la Africa hasa wazungu karibu ku share ni kituko gani au kadhia unayokutana nayo au ulikutana nayo kwa mara ya kwanza.
Kuna...
Mtu umeenda zako pub moja kali sana kuna warembo wakufa mtu cha ajabu unaonesha kuwa interested na mazi flani hata kampani umnunulie kinywaji mpige stori muda uende mtu anakwambia bila aibu miimi...
Ukiweza kutimiza vitu hivi vyote kwa mwanamke; we kila siku kwako itakuwa ni sikukuu, hakuna kunyimwa tendo, muda wote ni 'wet season'
Kula
Kuvaa
Makazi
Usafiri
Kusimamia shoo vizuri
Kazi kwenu...
Habarini wanafamilia?
Mimi sasa Leo ninaomba ushauri, mwaka 2020 Kipind nafanya kazi mgodini, niliachana na demu tuliyedumu nae miezi 4, nikampotezea kabisa, sababu ni kutokuvutiwa nae, yeye ni...
Baada ya kutafakari kwa kina nimeona leo nitoe siri ambayo nimekaa nayo kwa mda mrefu nafsini mwangu. Siri ambayo hakuna mwingine zaidi yangu na Mwenyezi Mungu anaifahamu. Siri ambayo nimeitunza...
Hi there..👋👋
I was fierce warrior known as samurai trained to serve my Lord. As samurai I was required to be forever in The Master's service..Serving with cultivated the bushido codes of martial...
Moja kwa moja niende kwenye point hii imemtokea rafiki yangu kabisa katumiwa sms na mtu wake yaani mpenzi nimeisoma hii SMS nikagundua huyu dada yupo seriously hajapindisha maneno kikubwa ndugu...
Wana JF naomba ushauri au msaada
Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach...
Habari ya asubuhi bandugu!!!!
Jamani x wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 2 kwenda kuangalia usalama wa mimba daktari kupima akagundua mimba iko nje ya mji wa mimba.
Daktari akamwambia style...
HABARI NAITWA MUU NAISHI KIGAMBONI NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA AWE MWENYE MWONEKANO MZURI NA UMBOZURI LAKUNIVUTIA AWE HAJAZAA KUANZIA UMRI WA MIAKA 18 MBAKA 32 MWEUSI AMA MWEUPE NISAWA AWE MUISLAM...
Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na...
Hehee [manake apo kwanza ncheke]
Nimekutana na mwanamke niliepotezana nae tangu mwaka 2007 kwa kuwa kila mtu alienda kusoma sehemu tofauti.
Nimekutana nae yuko vizuri kiutaftaji na anajiweza...
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba...
Wiki iliyopita nilibananishwa na mama watoto, naye anataka nimpeleke 'club' ambapo huwa nashinda ninapokuwa mbali naye.
Mi nikamkubalia, nikawa sina shida; na kumuahidi kumpeleka maeneo hayo...
Wakaka kila siku huwa mnakuja na mada hapa mkifundishana madawa mara maufundi ya kuwapa wanawake wenu kitandani mda mrefu ili muwafikishe eti.
Wengine nimekuwa nikiwaona hapa wanalalamika wake...
Wakuu poleni na majukumu
Mdogo wangu wa kiume alileta taarifa za kuoa kwa mzee wetu nyumbani Marangu Mamba Lekura, mkoa wa Kilimanjaro, Binti aliyehitaji kumuoa ni Mwenyeji wa Mkoa wa Bukoba huko...
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.