Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania...
36 Reactions
164 Replies
14K Views
1.Huwa ni kweli kuwa wanamitanange mizito na minene? Maana wakiwa wanauza dawa zao huwa wanasema zinaongeza ukubwa wa dushe. 2.Kimapenzi wanarizisha? 3. Hawaumizi mpaka inakuwa kero?
5 Reactions
97 Replies
13K Views
Salaam wakuu, Nmefanya Uchunguzi binafsi kwa miaka mitatu. Nlikua nataka kujua sababu za Wanawake kujibadilisha ngozi ili wawe weupe. Nlichogundua 1. Miezi sita ya kwanza wanakuwa na furaha...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanaume wote ni waaminifu lakini sasa shida ni sisi wadada. Why?
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Najua nnalotaka kulizungumza lawezekana lisiwe na maana yoyote kwa baadhi yenu ila acha tu niseme. Kwanza niwapongeze wanaume wenzangu woote hasa waliooa. Katika jambo ambalo hamjatuangusha...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri. Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Walikutana Ben na Rose shuleni wakiwa wote wamefaulu darasa la saba. Licha ya uwanafunzi Ben alikua na kipaji cha kuimba na kupiga gitaa. Weekends alitumbuiza kwenye bar na pia alialikwa kwenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Kuna binti nimekuwa nae kwenye mahusiano takribani miezi kama mitatu hivi...muda wote wa mahusiano yetu alikuwa anakuja Nyumbani kwangu...anaweza akalala kwa siku mbili,,siku...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
For without are dogs, and sorcerers, and whoremongers, and murders and idiolaters and whosoever loveth and maketh a lie. Ladies just a little more virginity if you don't mind; just a little...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa sana na kwa maumivu machungu ninayopitia, nimeona ni bora ku give up kuendelea na mahusiano ya kimapenzi na huyu msichana. Mahusiano yetu yalianza mwezi Januari, nilimpenda...
38 Reactions
166 Replies
10K Views
Katika utafiti uliofanywa na Gary Chapman katika Kitabu chake cha THE FIVE LOVE LANGUAGES cha mwaka 1995 Anaeleza kuwa.. Katika maisha ya mahusiano, kila binadamu ana lugha yake ya mawasiliano...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Dunia imebeba mengi sana na Ukistaajabu ya Musa Hujayaona ya Firauni. Hii imetokea Kijijini kwetu huku. Baada ya Utambulisho na maridhiano ya pande mbili. Mahari ikatolewa, Mil 2.5 hivi, na...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Am almost 35 and my daughter is 15 (kidato cha pili) Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto. I think She now takes me as her brother (Nimelihisi hili kwa kuangalia...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Habarini wanajamvi, Leo naomba nishare sababu iliyonifanya niachane na baby mama wangu,tuliyedumu nae miaka minne,niliona nikiwa na miaka 23, tulifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike, japo...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia...
47 Reactions
78 Replies
4K Views
Jamani najikuta nawaza sana hivi nitatoa lini? Mbona muda unazidi kusonga? Shauku ya kuoa inakuja mara inapotea, ukimpata unayempenda changamoto inakuwa kiuchumi unakuwa hauko vizuri, ukiwa vizuri...
7 Reactions
77 Replies
4K Views
Aise naomba msaada nilikuwa na relationship na mwalimu mmoja sas kabla hatujafikia hatua ya kuoa! Pakatokea kutoelewa tukatengana! Imenichukua mda katika kusali! Sas jiran hapa kuna bint ameishia...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Ninaishi Masasi mkoa wa Mtwara! Kuna wimbi la watu kutoka mikoa mbalimbali yaani ile iliyo nje ya ukanda wa pwani kuja Mtwara kibiashara, au kwa majukumu ya kazi za serikali! Hawa watu...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwema jamani? Kuna mwanamke nilikua na mahusiano nae miaka 7 iliyopita. Mimi kwa wakati huo sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake, so it happened akaniambukiza gono,nilivyomuambia,aliniogesha na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom