Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nahisi kabisa hapa hakuna balance kwenye suala hili, Wanaume wanazungumziwa kwa sababu hawezi kufanya kitu mpka isimame ila mwanamke anaweza kufanya mapenzi anytime ili mradi mwanaume...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu wikiendi iliyopita nilienda bar moja hapa mjini. Katika kuangaza macho yangu jicho likatua kwa mrembo mmoja hivi sio mkali kivile ila alinivuti. nikaamua kumkaribisha ili aje tujumuike...
5 Reactions
62 Replies
10K Views
Imekuwa ni desturi kwa watu walio wengi, hasa kwa wanaume waliozaa nje ya ndoa, kutokuwaweka katika listi watoto waliozaa nje ya ndoa. Kama wataulizwa mbele za watu; wana watoto wangapi? Watajibu...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakubwa habari ya mihangaiko.. Kijana wenu nimekuja nahitaji msaada wa kimawazo hapa kidogo naamini wapo wazee wenye hekima nitapata msaada. Awali ya yote mimi ni kijana wa middle 90's nina...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Naamini wote wazima wa Afya. Miezi miwili iliyopita nilipigiwa simu kwamba mdogo wangu analia sana yupo stress hata kula hawezi kisa Mwanamke kamuacha. Nikaona ni heri niende kuonana naye...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Juz juzi baada ya kufanya, tumetulia tumepumzika na Mchepuko Wangu (mama J) akaanzisha story. "Ujue BBY apa natamani mkeo angekuepo pembeni yako apo. Mimi uku, MamaG kule, Wewe katikati" uku...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Salute wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 27,kipindi na soma chuo niliwahi kutongonzwa na binti ambaye alikuwa tayari ana mtoto sikuona kuwa ni shida maana kila nlipo kuwa na hamu nae alinipa bila...
13 Reactions
50 Replies
5K Views
Hello Habari gani wanajamvi la MMU. Eeh bhaa kuna kitu nilikuwa nakisikiaga tu ila naanza kukiamini. Ishu iko hivi. Hivi kwa mfano mke wako yeye anapenda kutizama Muvi za kibongo kama Vile...
18 Reactions
128 Replies
7K Views
Chochote unachokifanya huwa kina matokeo; matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Itategemea na namna ulivyokipangilia. Pia kuna kitu nimejifunza, ukiwatendea watu wema ipo siku ule wema wako...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Salamu wanajukwaa, Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto...
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu. Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na hyu binti kama mwaka na miezi kadhaa. Ila sijawahi mgusa, na kila nikiomba uwa anasema nisubiri, hii hali imenichosha sasa...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Wadau kuna binti tumefahamiana kupitia mtandao wa kijamii Instagram ,ana miaka 17 yupo kisiwa cha Malta, tulianzisha mahusiano kupitia huo mtandao na hatimaye tukabadilishana namba za sim tukawa...
30 Reactions
281 Replies
25K Views
Hivi namba ya watu ambao umewahi lala nao either kama one night stand,casual hook-ups, friend with benefits au mahusiano ya kawaida inaweza husika kwenye mahusiano mapya? Mfano: mpenzi wako mpya...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Wasalaam, Wanawake wengi haijalishi ana kipato kiasi gani kwa ujumla wao hawapendi kulipia huduma mbali mbali wanazopata. Na hapa wala tusiwalaumu kwasababu kiasili mwanamke hakuumbwa kutoa bali...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa...
38 Reactions
72 Replies
7K Views
Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
4 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Reuters - April 9, 2009 RIYADH (Reuters) A Saudi man has divorced his wife by text message, a newspaper said on Thursday. The man was in Iraq when he sent the SMS informing her she was no...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanawake huwa mnaumia kwa upumbavu wenu wenyewe, you need true love but you engage in dating with fake people kisa tu ni handsome au ana pesa na gari while thats every cheap girl's dream. Wanaume...
41 Reactions
160 Replies
11K Views
Back
Top Bottom