Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wana JF Katika viumbe ambao nawasoma saikolojia yao iliyowashinda wanasayansi ni mwanamke.kwanza kabisa 1. Mwanamke hajui anataka nini hapa duniani 2. Anapenda sana wanaume wababe na...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date...
22 Reactions
114 Replies
6K Views
Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwangu mimi kuwa na marafiki sio kipaombele kwangu,watu wote wanaonizunguka nawachukulia kama dada, kaka, shangazi, mjomba n.k, Yaani mtu yeyote aliyekaribu na mimi namchukulia tu kama brother...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Utafanya au ulifanya nini ulipo tambua kwamba msaada wa wazazi/ ndugu zako kwako ni wakukuchimbia kaburi na kukuzika?
2 Reactions
11 Replies
808 Views
"Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha? Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya...
16 Reactions
120 Replies
6K Views
Habari Wana Jf wenzangu Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike...
6 Reactions
181 Replies
10K Views
Naomben masada wenu wa mawazo Nimeachika ninawiki sasa ninawatoto 2 mmoja ana 7yrs na mwingine ana miez 8 sasa. Naomben masada wa mawazo nifanye nini kwa sasa ili nijikimu kimaisha? Nina nurse...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, nazungumzia unaempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu. Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu...
19 Reactions
141 Replies
14K Views
Nakutafuta Annrosse. Ni wewe tulikua tukiongea kwenye simu zamani sana. Ilikua miaka ya 2004. Ulikua ni ule msimu wa simu za bure Zantel tukiwa bado watoto Annrosse. Kuna siku nilikosea namba...
23 Reactions
98 Replies
7K Views
NASAHA NA TARATIBU ZA UKEWENZA 1. Ukiwa katika ukewenza kumbuka kuwa hiyo ni ibada. Chunga adabu za ibada hiyo. 2. Chukua lililo haki kwako na jiepushe na kudhulumu haki za wenzako 3. Usiibe...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua...
49 Reactions
187 Replies
36K Views
Wakuu huyu shemej yenu siku hiz anaishi hapa kwangu Ilibid nimruhusu sabab kuna tukio nilifanya sasa kujipendekeza kwake tena nikaona nimtunuku shauku yake ya siku zote ya kuish namim, hata kama...
23 Reactions
163 Replies
9K Views
Wakuu wa MMU habari za sasa, Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi. Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao. Wakati mwingine natoka Geto...
25 Reactions
138 Replies
10K Views
Kama kawaida nlikutana naye kwenye mizunguko ya kawaida tu, nikaomba namba akanipatia. Njia aliyokuwa anaenda yeye nami nilikuwa naenda huko huko,njiani tulikutana na mdada tu, ambaye kwa...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Khali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema, Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada. Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana. Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili...
11 Reactions
222 Replies
11K Views
Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na...
18 Reactions
64 Replies
5K Views
Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku. Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana...
11 Reactions
146 Replies
7K Views
Mods nimekosea jukwaa, naomba mhamishe kwenye jukwaa la Tech. Wadau kwema? Ninahitaji kuchukua Smart TV, aina ya Star X inch 43 Ninaomba ushauri kuhusu ubora wake na changamoto zake na namna...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwaka mmoja umepita nikiwa siwezi tena kusikia cheko lako huku utani tuliokuwa tunataniana ukichukua sehemu kubwa ya mawazo yangu. Ni mwaka mmoja sasa toka umalize mwendo kwenye sayari hii...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Back
Top Bottom