Habari Wakuu,
Bila kupoteza mda niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Nilikuwa na mpenzi ambaye ndiyo nilikuwa nategemea kumuoa, kilichofanya nije niulize hapa ni hili tukio. Mimi Niko mkoa...
Alikuwa girlfriend wangu, yeye anapenda sex hadi karaha. Mnafanya round 3 mpaka 5, bado usiku anakuamsha mliendeleze. Nilikuwa napata raha mwanzoni ila kadri siku zilivyoenda akawa anataka...
Najiuliza swali
Kwa bahati vinchi nimevitembelea na nimekaa na familia zaid ya 12, nimesoma tabia zao hasa wazungu ni tofauti kabisa na watanzania na wa Africa wengine kwa ujumla,
Kwenye suala...
Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza...
unamkuta mwanamke ana watoto wawili, alishaachana na mwenzi wake miaka kadhaa iliyopita. Lakini baba watoto wake yupo town anakula ujana hajui hata kama alishawahi zaa'
Kwa sababu upo na mama yao...
Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa.
Watoto watakua tu.
Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako.
REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.
Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume...
WAKUU,
Hii imekaa vipi, Kuna demu mmoja Hivi hajaolewa tunakaa nae mtaa mmoja hapa Kinyerezi, yeye ni Mwalimu wa secondary....
Mara ya kwanza nilikutana nae alikuwa anaenda kazini, nikampa lift...
Mungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona...
Iko hivi nimekua katika ugomvi wa mda mrefu na mwenzangu( mume) bila kupata suruhu
Maumivu ni makali hasa dharau ndani mtu kuwa na wanawake hadharan Wala hajali hata ukilia unaoneka unampigia...
Baada ya kumpokea mgeni wangu, ambaye ni pisi kali kutokea Nyanda za Juu Kaskazini, tukaamua kupiga kambi kwa siku kadhaa katika maeneo fulani ya kujidai.
Tulipokuwa kwenye mazingira, ya kukata...
Msidhani kuwa mimi sipendi kuwa na mke au kuwa mume wa mtu.sema kuna mambo ambayo yameniathiri sana kisailojia. Hii ni list ya wachumba 20 ambao nimewahi kabia kutamani kuwaoa ila ikashindikana...
Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi.
Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko...
Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU.
Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake.
Ukiona unahonga sana...
Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam?
Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona.
Marafiki zangu...
1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa!
Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo...
Ila wanaume ndio tunaongoza kwa kutokua na siri, wanawake sijui wana moyo gani, wabarikiwe kwa kweli wanakufa na siri zenu nyie show mbovu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuhangaikia kuwa na six packs,yaani kwa sasa ukitembea kwenye saloon zenye kutengeneza kucha na yale maeneo ya gym wamejaa sana wanaume wenye miili mikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.