Kwema ndugu zangu?! Kama ilivyo ada, mimi ni mzima wa afya njema namshukuru Mungu kwa hilo.
Ndugu zangu Waislam nawatakia Ramadhan njema, Wakristo nawatakia heri ya Sikukuu ya Pasaka hapo...
Hello,natumai wotee ni wazima wa afya njema kabisa
Nahitaji kufaamishwa tabia asa za hawa wanaume kutoka mkoa wa mtwara wilayani masasi
Please naomba nifaamishwe,
Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana...
Nilishasema HAPANA!
Mwanamume anauwezo mkubwa wa kifikra na kiutendaji, hivyo upishi ni jambo dogo kwa mwanamume!
Upishi si msingi wa maisha ya mwanamume. Hata akiwa na miaka 35, akiwa na...
Mtindo wa maisha wa kidijitali umeathiri karibu kila nyanja ya maisha yetu. Na hiyo inajumuisha uzazi.
Siku zimepita ambapo watoto waliadhibiwa kwa makosa yoyote. Badala yake, mkazo wa malezi...
Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more.
Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry
Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo.
Siitaji.
Hivi hii code inamaanisha nini? Niliwahi kuwakuta jamaa fulani wanazungumza maongezi yaliyoonekana nyeti mno kwa lugha ya kiingereza.
Nilichoambulia ni hiyo code kwa sababu walikuwa wakitamka...
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa
Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu
Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye...
Anaandika Sudi Mgolozi
Wengi mnauliza kama mwanamke anaweza kumtamani mwanaume akamwambia,
Ndiyo inawezekana ila wapo wasichana wachache wenye kufanya hivyo. Mimi ilishawahi kunitokea zamani...
Wanajamvi yale Mapenzi ya Kihindi ya kuchat na kuongea muda wote, kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja, kula pamoja, kuoga pamoja, kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana...
Hiko hivi,
Nimepata masimulizi kutoka kwa jamaa yangu sana yanayomsibu.
1. Ni mtu wa moyo Safi, Ila atawale aliowasaidia wanamuona nonsense kwa sasa
2. Anasema wakati fulani anasaidia kutoa...
INASEMEKANA:
_*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.
*Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.
_*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa...
Habari!
Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri...
Habari ndugu na jamaaa wote,
Naombeni msaada wa kiakili na kimwili hadi kiroho kuna bint nlimpenda na yeye akanionyesha upendo wajuu sana. Ilipo fikia hatua yakutaka kuoana hapo ndio ikawa...
Habarini wazee
Wakati nipo mdogo kulikuwa na jirani yangu Analia kisa mapenzi nikawa namuona muongo huyu anaigiza, nikamwambiaga mapenzi hayaumi akasema kelele wewe bado mdogo leo nimeamini kuwa...
Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo.
Unakuta
-Mke anakunyima game maksudi kabisa
- Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa
-Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma.
....
Na hurusiwi ongeza mke.
hii...
Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake.
Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.