Nilikosa kosa risasi kisa mke wa mtu. Namkumbuka na picha yake ninazo.
Sasa kuna mtandao mmoja unaitwa mygamma.com nilipata msichana mmoja anaitwa Riziki, nikamdanganya nasoma IFM Kumbe nilikuwa...
Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije...
Habari zenu watanzania, mnaendeleaje Na shughuli za kuchapa kazi tuu
Matumaini yangu ni kwamba hapa kuna ma expert wa Ku womanize ,yaan wanajua mpaka wanakela, akimsimamisha demu TU sekunde mbili...
Wakuuu baada ya kuona uzi wa mwenzetu mmoja unaogusia baadhi ya watu ndugu, jamaa na marafiki wakisha pata nafuu kutzidi wengine wanavyo jibu au kuleta madharau kwa kina sie ambao bado tuna...
Jamani bila maneno mengi mi kuna suala moja huwa nashindwa kujizuia kama nimeambatana na mpenzi wangu akipita demu mkaliii au mwanamke mkalii hasa aliyefungasha , najikuta naibia ibia jicho...
Nimefanya research ya kutosha
Nilichukua sample spaces kutoka mataifa ya
Tanzania
Rwanda
Burundi
Kenya
Uganda
Kilichonisukuma kufanya research hiyo ni kwasababu ya story nyingi mtaani kwamba...
Maisha ya Tanzania yetu haya
Juzi nimetua bongo kwa likizo yangu fupi, nikaamua nipande tu daladala, imejaa sana.
Kuna mdada nilisimama naye ndani ya basi (ujue mtu ambaye hajazoea shida...
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.
Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda...
Uzima upo?
Niende kwa mada, ukiwa aina ya mwanaume mtanashati, hutaki mazoea, hujali n.k, yaani aina ile ya mwanaume hata mwanamke kusalimiwa na wewe anajisifia na kujiona ana bahati sana.
Sasa...
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara
Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance
Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa
Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma
Kwa kweli ilibidi nijipe...
Habari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili...
Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu...
Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali...
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha.
Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua...
Wanajamii nina kitu kimoja mnipeni mbinu ya kuumkataa mshikaji wangu ambae naona hana faida kwangu bali ni kupe. Picha linaanza huwa ananishawishi sana kwenye sehemu za bata ili hali yeye hatoi...
Kwema?
Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni...
Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe.
Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi...
Habari zenu,
Leo sina maneno Mengi ila ni kuwajuza tu kuwa Mimi Decor Bysco nikiwa na akili zangu timamu, Ninasimama mbele ya umati huu wa JF nikisema kuwa SITOKAA NIOE.
Hii ni kwa sababu...
....Natumaini mu wazima wote....
....Hapa ninapokaa, kuna nyumba nyingine iko karbu yangu...
....Kila siku saa nne au tano, naskia ngu ngu milio ya kitanda...
...Jamani ni kila siku iendayo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.