Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
DOKEZO: Leo nimeamua kushusha uzi huu kutokana na video iliyovuma sana mitandaoni hasa twitter ndani ya siku tatu zilizopita. Video ilikuwa ikionyesha Jamaa akimletea zawadi ya Happybirthday...
10 Reactions
105 Replies
11K Views
Kama Mnakumbuka Kuna Kipindi Niliweka Uzi Wangu Unaonyesha Dalili 10 Za Kumjua Mwanamke Aliyetoka Kufanya Mapenzi Kama Ni Mkeo Hatimaye Leo Nimekuja Na Mbinu Mpya Kabisaa Ambayo Itakusaidia...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
boobs in the world?! Well, according to bra company ThirdLove's breast shape dictionary, women have one of nine different sets of breasts. All boobs (and nipples) are totally normal, but...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale...
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa, Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu...
26 Reactions
199 Replies
15K Views
Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo. Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Sema kweli mapenzi yana raha yake hasa kipindi cha mwanzoni kabisa yanakuwa mahaba niuwe. Kwenye uwanja wa sita kwa sita unaweza kupiga kuanzia goli 5 na kuendelea!, ila inafika kipindi unamchoka...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kama una pesa haifai uteseke na mapenzi fanya hivi tafuta MWanamke mdogo mdogo mwembamba mrefu ambaye kaishia elimu ya msingi tu au secondary asiye na kazi Tena wa kutokea kijijini ila hakikisha...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
.... Nyuzi ifutwe .... Moderator
26 Reactions
187 Replies
15K Views
Mke akimbia nje ya kanisa wakati wa kufunga doa baada ya kugundua Mchumba wake ambaye anafunga naye ndoa alimdanganya kuwa anafanya kazi shirika la mafuta na ni muhasibu, baada ya dada huyo...
6 Reactions
117 Replies
16K Views
Ukitaka Kula Mzigo Anakuzungusha na Sababu Kibao mara anaumwa, yuko period na Nk Ila Akiwa Na Shida Ya Hela Anakuomba , Huyo Anataka Kukufilisi tu na Sio Kwamba Anakupenda. Huo ndio ukweli...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
MWANANGU, MPENDE MKE WAKO NA MHESHIMU MAMA YAKO. Na. Robert Heriel. Usichoke kusikia Maonyo ya Baba yako. Mimi ndiye nikupendaye. Naye Mungu atakupa maisha yenye furaha na amani siku zote za...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Unakuta ni watu wazima WATANZANIA wenzetu lakini wanapotia story Wana mchambua mtu personality yake na Tabia zake NI kutokana na kabila la wazazi wake. tangu watu wengi wasome shule za msingi...
1 Reactions
10 Replies
756 Views
Habarini za leo wana JF Sasa li uzi la leo bwana linamhusu rafiki angu mmoja hivi. Alifahamiana na huyu mwanaume since tuko advance na alikua n mwanaume wake wa kwanza kabisaa. Huyo kaka that...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni miaka kumi sasa imepita, kwa Mara ya kwanza tulikutana maeneo ya Buza kwa Lulenge,wote tulikuwa tunaenda chuo maeneo ya mjini city center na wote ndio tulikua mwaka wa kwanza tunaanza. Nlikuwa...
20 Reactions
83 Replies
5K Views
Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo...
2 Reactions
13 Replies
843 Views
Niliandika nikapigwa Vita, Narudia! Watu waache fikra potofu kudhani eti viungo vyao vya uzazi Ni vitamu! Hahahahaa! Ukiambiwa na mpenzi wako "wewe mtamu!" Elewa kuwa Ni kauli inayomaanisha...
13 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuna ile hali mtu hufika hahitaji date, hautaki mapenzi, hapendi, Unakuwa hauna nyege, haupendi mastory Sana. Yaaani una kuwepo tu na maisha yako. Hivi hii kitaalamu inaitwaje....? Na hutokana na...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu! Na ujanja wangu wote huu sijui bado maana hasa ya haya maneno ya 'alpha males' na 'beta males', najua males ni wanaume sasa je, alpha au beta ina maana gani? Huenda nikawa miongoni...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa... Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom