Na Jerome Mmassy, Arusha
Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama...
Wanawake wengi wanasumbuliwa sana na matatizo sehemu za siri, kuwashwa harufu mbaya, kutopata hedhi, etc
Chanzo kikuu tumenotice ni wanaume
How?
1. Wanaume wengi wana matatizo ya kinywa...
Wasalaam
Ni kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu mkuu, leo tumeiona siku nyingine tena.
Leo nimeona nitoe kidogo ninachokiwaza mimi , mwingine anaweza kuona ni mwiko kwake nami naziita Gentleman's...
Mahusiano kwa upande wa mwanaume yana gharama sana.
Kama hutokuwa makini, hutofanya kitu cha maana katika maisha yako. Utajikuta kila siku, wewe ni mtu wa kutoa hela tu.
Ukija kupiga mahesabu...
Wake wa mikoani ni wazuri kitabia ila ni chagamoto katika mapishi kwenye mwezi kama hu wa Ramadhani.
Workmates wangu wamefunguka jana kwamba wake zao hawajui kuanda futari ya kufuturu mwezi hu...
Tuanze story,
Mwaka 2020 Dec nilikuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, licha ya kuwa na skendo ya kuwa na wanaume mbalimbali, hayo yote sikutaka kujua! Mapenzi...
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.
Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka...
Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa?
Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi.
Inafikia kipindi...
Habari zenu waungwana.... Mimi naishi na kaka yangu tumbo moja ndiye ndugu au familia niliyo baki nayo kutokana na ndugu wengne kama shangazi na wajomba kuwa mbali na sehemu tuliyopo; wazazi...
Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:-
Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa
Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima
Mtoto kutaka...
Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.
Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke...
Utakuta wanachuo wanatembea kwa kufuatana kama kumbi kumbi; mwanaume hataki kumuacha mwanamke, na mwanamke naye hataki kumuacha mwanaume.
Mmoja akienda maktaba, mwenzake anamfuata, hivyo hivyo...
Nipo mkoa Fulani kanda ya ziwa kikazi nilihamishiwa huku kwa bahati nzuri huku nilimkuta ndugu yangu mmoja tunaelewana Sana maana tumekua wote enzi hizo.
Sa kwa vile mi bado mgeni kidogo na ni...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ushauri wenu ni muhimu sana maana nina hali mbaya sana kisaikolojia. Naishi kwa stress kiasi kwamba kuna wakati nafikiri pombe itanisaidia nayo inaniongezea...
Habari za asubuhi
Tangu nihamie mkoa na ninajishughulisha na kabiashara fulani hivi me sio mkubwa kivile nina kama miaka 41-22. Sasa nimekuwa nikiishi nyumba fulani hivi na kuna mama ana kama 25...
Na Jerome Mmassy,Arusha
Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba...
[emoji187]BARUA YA WAZI KWA WANAUME WOTE.
Wanaume wapendwa,
Ukitaka kufanikiwa maishani, sio lazima uingie kwenye kila SHIMO unaloliona. Mashimo mengine ni mitego iliyokufa. Mashimo mengine ni...
Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Siku moja nikaona...
Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi.
Unaweza...
Wadada wenye uchumba sugu.
Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana.
Njia rahisi inayoweza kukusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.