Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye...
Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs!
Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume...
Poleni na majukumu wakuu.
Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana...
Kwanza namshukuru Muumba wa mbingu na dunia. Baada ya kutoa shukurani zangu za dhati napenda kuwatakia maandalizi mema ya Sikukuku ya Christmas ya mwaka 2021.
Kwa wale ambao sherehe hii kwao...
Wakuu,
Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery
Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake
1...
Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi.
Nikahama...
Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile...
Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa.
Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa...
Nyakati zimebadilika; nyakati za sasa zinahitaji uwe na rafiki wa faida na sio rafiki wa kupiga tararila (maneno maneno).
Pia tukumbuke, maisha yanahitaji pesa na sio maneno.
Kwa mazingira...
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda.
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi...
Habari za humu JF
KAZI IENDELEE!
Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.
Nina miezi 6 toka mke...
Huu upuuzi sijui alianzisha Nani, kwamba kifo cha mende ni mkao wa watu wenye Maadili na kustaarabika.
Kiukweli, [emoji117]kuna wanawake huona mikao mingine kama utovu wa Maadili kwa mwanaume...
Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko...
Nimekaa kwenye hii nyumba tangu 2010, nilipohamia hapa haka kabinti kalikuwa ni kadogo mno, sasa kako sekondari form 1.
Jana jumapili sikutoka ndipo kakaingia ndani, jumamosi nilikuwa nimejilipua...
Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.
Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo...
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a a little help from ur hand (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko comfortable...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.