Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa,
Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili...
Kwema wadau
Leo nakuja na njia kadhaa kwa mwanaume utachukua namba ya demu mkali kwenye dala daka au sehemu yeyote bila shida na badaw utaweza kummiliki.
Unakutana na pc kali sehemu unatamani...
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .
1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na...
Habari wana Jamii Forums,
Kuna tatizo la kiufundi limetokea hapa jirani na nyumba yetu kwenye nyumba kubwa yenye bati la msauzi na ndinga mbili za maana ndani ya uzio.
Sauti ya mama mwenye...
Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika.
Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita...
Nilikuchezea sana miaka ile uliponitembelea. Sikukuchukulia serious. Niliamini tungekaa pamoja hadi kifo, kumbe ulikuwa unapita tuu. Sikujua ilivyo vigumu kukupata. Umeniachia kumbu kumbu nzuri na...
Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake[emoji817]
Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :- [emoji830] mwanaume hafiki...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,
Namshukuru Mungu...
NB. Hakuna anayeshare story ya maisha/Mikasa yake kwa nia ya kupata sifa. Kwanza hapa hatufahamiani, Siwezi tafuta sifa kwa watu ambao siwafahamu. Kwa hiyo comment zenu kama mna undugu na Malaika...
Tulikuwa kwenye uhusiano na huyu mrembo, kati ya vitu alivyowahi ku confide kwangu ni kuwa yupo close, anampenda sasa baba yake.
Nikataka kujua uhusiano na mama yake ukoje akaniambia hawako close...
Nina uhakika 80% nimemwanza. Miaka 17 siku ya kwanza kusex nae dushe lilikua halipiti saa lilikata baada ya kupita alipiga kelele kama nimechoma kisu mwisho wa sex shuka dam, baadae kabadili pichu...
Marafiki wa humu salaam sana
Natumaini mmeamka vyema na kuanza ujenzi wa Taifa chini ya uongozi wa Sizonje
Niende direct kwenye mada husika
Nna mpango wa kubadili dini so nahitaji nijiunge na...
Hello wana JF,
Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi?
Maana naona kama wanakuwa na...
Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani...
Hakuna Asiyejua hili Neno kila mtu analifahamu na tunalitumia Kila siku na Tunaishi Nalo na Lipo kwenye maisha yetu ya Kila siku.
Ulishajiuliza ni kwa nini Facebook wamelichagua neno hili na si...
Hello wakuu humu.
Kwanza mimi napingana na ule usemi unaosema ukiniona wa kazi gani tabua yupo anayesema atanipata lini...iko hivi katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi ambayo ndio yanaleta...
Ushauri wenu jamani,
Mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini...
Habari,
Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe,
Hoja ni...
Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi.
Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.