Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!!
Pumbavuuu, kaona...
Kiukweli niko kwenye mahusiano serious na mwanamke mmoja ambaye ni mzuri sana tuu lakini pia kuna michepuko ambayo nayo ni pisi kali.
Ishu ni kwamba huwa kuna vibinti vya kawaida tuu tena sana...
Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi:
" MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU
1. NINA KUPENDA
2. NINAJIPENDA.
Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende...
Habari wanajamii forums,
Ni uzi maalumu kwa ajili ya wale wote walio experience kupendwa na watoto wa kike, kikubwa nahitaji kufahamu kuwa:
✓Hawa viumbe huwa wanaonesha ishara zipi mpaka...
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa...
Habari wapendwa;
Niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona...
Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja...
Wakuu poleni na msiba.
Mimi ni Mkristo ilaa, navutiwa sana na wanawake wanaopenda kujisitiri miili yao, ndugu zetu waislamu dada zao wanajitahidi sana.
Unajua bwana heshima ya mwanamke ni...
Hellow wakuu,
Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja...
Habari Wakuu
Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23].
Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye...
Nimetoka 'out' na huyu bibie mfanyabiashara wa madini; baada ya kuingia kiwanja cha kwanza, tukapiga pombe kama bia 3 kila mmoja, tukahamia kiwanja kingine, pale tukapiga bia kama 5 kila mmoja...
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 ni mkazi na mfanyabiashara wa Dar. Nimekua kwenye mahusiano na binti wa Kigogo (mgogo by tribe) nataka kuanza taratibu za kumtolea...
Kama upo kwenye mahusiano ya mapenzi yawe mapya au ndio yako ya kwanza chunga sana mdomo wako usiseme mambo haya kwa mpenzi wako
1. Hofu kuhusu uhusiano wako
Katika kila uhusiano, uwe wa karibu...
Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,
Naomba msaada katika jambo hili.
Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita...
Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers?
Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na...
Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda...
Ahlan wa sahlan
Kuna wanawake wa aina nyingi hapa duniani.Kuna baadhi ya tabia zao zikianza kujionesha katika mahusiano yenu jua kuwa taa nyekundu imeshawaka na yakupasa ushtuke na usepe mapema...
Ana watoto wanne kwa mkewe ,miaka saba iliyopita akaanza kufanya uchafu na binamu yake hatimaye wakapata mtoto, kama vile haitoshi akampitia mara kadhaa shemejiye mke wa kaka yake ambaye ni dereva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.