Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini. Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Nilikwenda mahali kupata huduma. Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Za jumapili wadau. iko hivi, Unaweza kutana na mtu yeyote inaweza kuwa kwenye gari au njiani au kaja hapa hapo dukani au ofisini kwako kwa namna yoyote ile.. Ile katika kuongea ndani ya nusu...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Nipo zangu napata chai ya saa 4, mara simu yangu inaita; kupokea, kumbe ni mchepuko wangu wa zamani mwenye chura matata,ambaye tuliachana kutokana na majukumu kuwa mazito. Akaniambia amekuja...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari wadau, hivi unapokuwa na mahusiano na Mwanamke akakumwambia anahitaji mahusiano yawe ya siri Kuna wambeya wengi je sahihi? Nikaamua kufanya utafiti kwanini anataka mahusiano ya Siri, wengi...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi? Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanaume ambae anakutafuta akiwa na hamu na wewe kingono hakufai kabisaaaa toka ndukiii hapo hakuna mapenzi ndo ushageuzwa sex machine usije fikiri kuwa ndo unapendwa.
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa...
9 Reactions
84 Replies
12K Views
Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa...
15 Reactions
156 Replies
8K Views
Nimeamua kushare majibu yangu hapa, ili iwe funzo kwetu sote, tuchukue tahadhari na tupime kujihakikishia usalama!
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Wacha nikupe dondoo kidogo kwasisi tuliofuzu hii kozi yakudate wamama watu wazima tunavyofauru changamoto zao. Ukitaka kufaidi mtu mzima usitembee na ambaye bado anamume, chukuwa mjane ama ambaye...
21 Reactions
169 Replies
29K Views
Mughonile! Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili. Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako. Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo...
74 Reactions
172 Replies
11K Views
Wanawake wa miaka ya sasa ni tofaut na miaka ya zamani, msichana ukikutana nae for first time ukaomba namba ukamtongoza atakuzungusha sana tena km ndio hajavutiwa na wewe ndio unaeza kutuma msg...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Naweza kusema yule binti alikua na nguvu za kishetani zaidi. Mwaka 2016 nilikutana na binti Fulani wa miaka 19 alikuwa anasoma Chuo fulani cha kati. Baada ya kumtia vocal binti akakubali. Siku...
14 Reactions
98 Replies
30K Views
Mapenzi au kupendana ni hatua kubwa sana kwenye mahusiano,sasa tabia ya kina dada kujifichaficha muwapo faraga nini maana yake?eti ukitaka kumshika sehemu anakutoa mkono,ukimgeuza huku utackia ooh...
2 Reactions
130 Replies
16K Views
Hello members! Ni mdogo wangu wa mwisho wa kiume miaka 17+ Nashindwa kuelewa ni malezi au nini. Ila mbona sie wengine ndugu zake hatuko hivyo. Naanza kuhofia asije kuona namnyanyasa. Yaani...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Kuna kadada furani kana soma Saut hapa mwanza nakapenda sana nanimeshawahi kukambia ila akatoi majibu zaid ya kukaa kimya basi. Tumeishi maisha hayo ila kakikukumbuka kana kutexts mnasalimiana...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mmeamkaje? Tulizoea wazee wa zaman wakijisifu kuwa kumpiga mwanamke ni kumnyoosha. Sasa cha ajabu kumbe bado ipo hii issue juzi kuna jirani yangu kapigwa night na mumewe yaan kipigo kweli, kiasi...
24 Reactions
251 Replies
13K Views
Back
Top Bottom