Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea...
7 Reactions
118 Replies
6K Views
Hi guys, I hope mnaendelea vyema Maneno hayo nilitamkiwa na rafiki yangu wa karibu baada ya kumueleza sababu iliyopelekea mimi kuchukiwa na classmate wangu wakike Mimi ni kijana(27) nasoma...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani...
8 Reactions
157 Replies
12K Views
Leo ni kati ya siku ambayo nimefrahi sana pengine kuliko siku zote Nilihisi japo sijawa na uhakika,nilikua namwambia Mara kwa Mara alikua akibisha tena kwa ugomvi mkubwa tu tena Mara nyingine...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia. Wakati...
49 Reactions
283 Replies
20K Views
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo. Kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano tumepita kwenye nyakati tofauti ngumu na nzuri. Ukweli ni kwamba, mwenzangu kwa bahati mbaya...
0 Reactions
10 Replies
747 Views
Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe...
5 Reactions
11 Replies
729 Views
BY MWALIMU HABELNOAH JM LIBRARY MWANZA HADITHI YA KWELI Kijana mmoja wa Kiume Alikuwa akipita nyumba Moja hadi nyingine kulilisha tumbo lake lililokuwa na njaa,mwishoe akaamua kuomba chakula...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna mwanamke mmoja kakopa shilingi milioni 4 kikoba, na kuweka rehani nyumba yake ya vyumba viwili, kwa marejesho ya muda wa miezi 5. Kabla ya kupewa fedha hizo, mkopaji aliulizwa mara tatu tatu...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
True story Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu Binafs nmeshawishika kuleta Uzi huu baada ya kupitia Uzi nyingi za wadau zenye majuto kadhaa ya waume wenzangu waliyopata baada ya kuzaa na michepuko yao. Kiukweli kuna michepuko...
19 Reactions
402 Replies
21K Views
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Hii tabia ya kupiga watu picha uwanjan au kurekodi video mtu akiwa ameena na mwanamke wake sio nzur kwa sababu 90% uwanjani watu wanaenda na michepuko yao na sio wake zao Ilinikuta aisee nimekaa...
6 Reactions
15 Replies
912 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na...
7 Reactions
129 Replies
15K Views
Habarini za siku wana JF Nilikuwa na mchumba wangu kwa miaka 3, Tuliachana kwa kuwa nilimpa hela ya mkopo akafanyie biashara yeye akachukua hela kwenda kufanyia matumizi yake binafsi kama...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Gazeti la the sun nchini uingereza limechapisha utafiti kwamba ukubwa na urefu wa pua ya mwanaume vinamahusiano ya Moja kwa moja na urefu wa maumbile ya mwanaume husika. Utafiti huo umeonyesha...
12 Reactions
153 Replies
10K Views
Wadau habari, poleni na majukumu. Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili, Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo...
34 Reactions
329 Replies
25K Views
  • Closed
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye...
15 Reactions
80 Replies
8K Views
Habari za weekend wadau? Nilikuwa naomba ushauri ,miezi kadhaa iliyopita nilikutana na binti ambaye nilitokea kuzoeana nae kidogo,baada ya muda kidogo kupita nilianza kutamani awe mtu wangu...
2 Reactions
84 Replies
5K Views
Back
Top Bottom