Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni kweli kazi za ndani kama vile; kudeki, kuosha vyombo, kufua,kupika, na kufagia ndani, ni jukumu la mwanaume kwa mujibu wa sheria za ndoa? "Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nakumbuka siku hiyo sikukaa nyumbani, ilibidi nitoke mimi mwenyewe nikaenda mafichoni nakujitafakari, kweli mimi nitaitwa baba? Na majukumu yangu yatakuwa wapi? Nikakumbuka msemo wa wahenga...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona...
4 Reactions
65 Replies
4K Views
Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona...
17 Reactions
143 Replies
11K Views
Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Haikuwa kazi rahisi kufika hii miaka, Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia. Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji...
38 Reactions
218 Replies
18K Views
Habari Wakuu! Moja Kwa moja kwenye Uzi! Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na mke wangu, kana mchekeachekea, kana mshobokea na kujifanya...
56 Reactions
195 Replies
22K Views
Huenda wengi wanakumbana na hii changamoto na niseme ukweli huwa inanikwaza sana. Mdogo wake wife wa kike huwa ana tabia ya kuja mlangoni na pia dirishani kusikiliza tukiwa tunafanya sex...
18 Reactions
85 Replies
11K Views
Hayawi hayawi huwa! Katika harakati zangu za maisha ya kila siku mkeka bhana juzi kati si ukatiki!kwa buku 10 nikampiga muhindi 2,500,000(baada ya makato ya kodi). Maisha mafupi nikasema wacha...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu habari. Naombeni ushauri ndugu zangu, mimi na familia fulani tuko marafiki wa muda mrefu, kuanzia baba wafamilia husika na vijana wa familia Hiyo tunaishi kama ndugu. Kijana mmoja wa...
3 Reactions
14 Replies
937 Views
Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa . Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
"Behind every murder, there is a motive" Wanawake wengi wa Kitanzania kama siyo wa Afrika utasikia, mimi ningetamani kuolewa na mzungu. Kwanza ni waaminifu na wana mapenzi ya kweli! Muda...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Habarini, mifano ni mingi tu. Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Wana nzengo ngoja na mimi nitiririke kidogo leo kutokana na masaibu yangu. Waswahili wanasema "Unaweza kupenda chongo ukaita kengeza au kipendacho roho hula nyama mbichi n.k". Kwa miaka miwili...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Nimewahi kukutana na wasichana kadhaa ambao wamekuwa wakinieleza wazi tabia wasizozipenda wakati na kabla ya kugegedana. Lakini kabla sijaendelea mbele nikukumbushe jambo moja tu unae soma uzi...
16 Reactions
79 Replies
10K Views
Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show. Manzi anakupa location...
47 Reactions
272 Replies
15K Views
Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda. Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa...
16 Reactions
118 Replies
6K Views
Kijana mwenzetu amezama haswa katika penzi la mama mtu mzima mwenye watoto wakubwa ambao huyu mwenzetu anaweza hata kuoa binti wa huyu mama. Tumejitahidi sana kumuonya na kumwambia unapoteza...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom