Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna...
Wakuu mimi ni member humu jamvini ila imenibidi kufungua account mpya ili niweze kuleta huu Uzi hapa,hii ni kutokana na kufahamiana na watu wengi kupitia account yangu ya siku zote. Nimeona hii...
Ni mmoja kati ya walioitwa kutoa ushauri baada ya mwanaume kugundua bosi wake ni mchepuko wa mkewe na kazi anayoifanya aliombewa na mke wake.
Story iko hivi
Jamaa alikuwa na kazi nzuri na maisha...
- Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli.
- Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini.
- Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana...
Baada ya hayo sasa tunarudi katika mada yetu ya leo, nazungumzia juu ya tabia za baadhi ya watu walio katika uhusiano kupenda kuwapiga 'mizinga' sana wenzi wao. Tabia hii ipo zaidi kwa upande wa...
Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa...
Habari wana MMU,
Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye.
Naanza mimi:
=> Kwenye maguest house
=> Kwenye...
Salute bosses! Imagine umekorofishana na mwanamke fulani kwa kosa aliloanza yeye, na kwa kiburi akaamua tu uozee jela?
Mpaka hapo naona mnapata picha kidogo. Kwamba wanaume wengi wasio na hatia...
Jameni nimechoshwa na wadada wakazi kwa tabia zao chafu. Nashukuru mimi sijawahi kuwa na viumiza vichwa.
Hivi mwanamke mzima anasex na mtoto mdogo anamwambia mtoto wa miaka 3 aende chumvini...
Hapa ni shauri mbalimbali kwa wakina dada
Mimi ushauri wangu kama wewe mwanamke haupo tayari kulala na mwanaume chonde chonde usimlie pesa zake,
Nimeshuudia hapa jirani mdada yamemkuta mambo...
Umuofia kwinu !!
Nina hakika kila mmoja hapa amepata kusikia "MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU" na pasina shaka wengi wana ushuhuda kwa jambo hili. Na kwa muendelezo wa mantiki hii MUNGU wa mbinguni...
Familia ya bwana kabati ilifikia hatua ya juu ya mafanikio katika jamii yao. Mwana kabati ni meneja wa benki na mama ni mwalimu tena alifikia kuwa Mwalimu Mkuu. Walibahatika kupata mapacha...
Katika mishe mishe zangu za kuzifikia ndoto siku moja Niko zangu njiani kuelekea kazini, nikakutana na mrembo ukimtizama huchoki kumuangalia utazan malaika wa zamu Yuko field duniani na Wala sio...
Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.
Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa...
Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu, mfano:-
Kutembea kwa mwendo wa maringo
Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo
Kujifanya umedondosha vitu na kuinama...
Salaam Aleikh
Huu uzi ni kwa ajili ya kuomba ushauri. Nina Imani wapo humu watu wenye mitazamo ya kuona kwa mapana madhara au faida ya hili jambo. Nimejaribu kuwaza kwa Zaidi ya miezi minne sasa...
Nataka kufahamu tunaowa kutimiza maandiko au ni kuendeleza utaratibu tulio urithi kutoka kwa mababu zetu?
Kama lengo ni kuzaa na kuijaza dunia hilo linawezekana bila kuowa. Kumekuwa na matukio ya...
Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi.
Ukijichanganya...
Hivi huwa mnaanzaje? Hata hamuwaonei huruma rafiki zenu?
Waachie watu wa mbali wamchukulie mchumba wake lakini sio wewe unaemfahamu vizuri tu rafiki yako. Unawajua vizuri na umeshuhudia mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.