Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello Jf Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu. Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!! Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana...
30 Reactions
158 Replies
8K Views
Wakuu naona mpooo Nimerudi baada ya kimya kingi Kiufupi baadhi yenu wanawake wa kitanzania mnatukatisha tamaa waoaji Juzi kati nimepita mtaa fulani hivi nipo na gari yangu yenye bei kubwa kupita...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume...
39 Reactions
101 Replies
9K Views
Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal...
6 Reactions
132 Replies
5K Views
Habari za mda huu wana JF, Bila kupoteza mda twende moja kwa moja kwenye mada. Fikiri kwamba wew mwanaume umeoa na unajijua kuwa huna uwezo wa kuzalisha na hujamwambia siri hiyo mkeo.. Ndoa...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni mgeni nipo Musoma mjini nilifika tangu jana usiku.Nikawa nimechukua chumba Lodge moja iitwayo embassy maarufu kwa shangazi iliyo karibu na stand ya zamani iitwayo stand ya Makoko. Wakati...
14 Reactions
83 Replies
12K Views
Ndio, sisi wanaume wa kisasa hakuna sehemu yoyote kwa Sasa tunapofundishwa namna ya kuwakuna Hawa viumbe ambao ni mbavu zetu lakini tuna majukwaa kama haya ya kuelezana kidogo, sina maana ya...
29 Reactions
44 Replies
11K Views
Ni miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita. Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakuu nitakua nakosea? Ni binti niliekutana nae zamani kidogo tokea nasoma form four nilimuacha madarasa mawili nyuma, tulikua marafiki tu ni mtu ambae tumedumu nae kama rafiki na mpenzi kwa...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Eti wapendwa? Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya...
23 Reactions
189 Replies
9K Views
Leo nmeamini hayo Maneno ya wahenga hapo juu baada ya kukutana na hizi sarakasi kutoka kwa Mchepuko wangu uyu wa siku zote mama J. Ni HIVI, Juzi jion baada ya mihangaiko yangu nlikwenda kwa...
16 Reactions
197 Replies
10K Views
Wajuzi wa mambo haya, Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na...
14 Reactions
142 Replies
10K Views
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi...
12 Reactions
80 Replies
6K Views
Habari wana JF.... Naamini most of mliopo na wasiokuwepo hapa... your weekend ilikua ni nzuri na your Loved ones are well and good... Katika mahusiano ya Mapenzi kila moja hu wish kua angeweza...
29 Reactions
393 Replies
35K Views
Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua...
19 Reactions
71 Replies
41K Views
Nilikua nae kwa mda wa miaka mitatu tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume amewahi, kuondoka nakurudi kwao mala 2 hii safari ya tatu. Kibaya zaidi hataki kupokea cm ananitukana matusu kwenye...
2 Reactions
74 Replies
4K Views
Awali ya yote nianze kwa kutoa pole zangu kwetu watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliyekuwa Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Joseph Magufuli. Hiyo ndiyo njia yetu...
25 Reactions
93 Replies
11K Views
I'm very spiritual man. Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa. Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Siku mbili tatu hizi, nilitembelewa na mpenzi wangu; Kama mnavyojua tena, ukitembelewa na mgeni ni vizuri kumjali pamoja na kumtembeza maeneo mbalimbali ili aweze kufurahi. Mnavyojua tena mitoko...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na ukienda kwenye blog yangu unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote. Baadhi...
11 Reactions
47 Replies
12K Views
Back
Top Bottom