Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Yes, nimejaribu kuwa mvumilivu nimeshindwa, japo kuna watu watanichukulia tofauti humu, i dont care! Ndio mkondo niliochukua. Huyu baba (kaka) ni civilized sana, hana maneno, msiri mnoo, yaani ni...
60 Reactions
531 Replies
27K Views
Mimi ni mdhaifu sana linapokuja swala la kutaka kungonoka. Udhaifu wangu umefanya huyu bi mdashi ninaechepuka nae kunafanya kama mimi ndio sex mashine yake. Yeye kila siku anataka, na sio kutaka...
7 Reactions
42 Replies
39K Views
Katika wakati huu kumeibuka Dhana ya kufanya mazoezi maeneo ya beach, barabarani na katika Gym kwa maana ya kuweka miili fit na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.. Kiuhalisia Mazoezi Ni jambo jema...
8 Reactions
100 Replies
13K Views
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio...
20 Reactions
210 Replies
22K Views
UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko...
27 Reactions
206 Replies
10K Views
Uzi tayari. Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi. Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume? ====== Imeelezwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Imeshapita wiki mbili sasa toka nilibongonyoe (tubailojiane) na jimama langu fulani hivi jeupe jeupe lenye tako mbinuko lile ambalo hata mtoto anaweza kukaa bila mbebeo. Yuko na miaka 45, kuanzia...
9 Reactions
102 Replies
7K Views
Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Yapata mwezi mmoja ( 1 )sasa Tangu nilipoanza kubaini kuwa Tabia ya mke wangu imebadilika " jinsi alivyo hivi sasa sio Yule mke wangu niliyekuwa namfahamu miaka minne (4) iliyopita Mwanamke...
25 Reactions
238 Replies
16K Views
Habari za wakati huu wapendwa nimatumaini yangu mpo vizuri kabisa na mnaendelea poa na mishe zenu kama kawaida. Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika. Nilikuwa ni mmoja kati ya watu...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwemaa? Mpenzi wangu anakaribia kujifungua, amebakiza miezi kama 3 tu. Sasa nataka kutoa jina kwa mwanangu ajae, alikuja geto huyu mama juzi juzi tu hapa, kaniambia mume wake alimpa hela ya...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja. Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua...
17 Reactions
103 Replies
5K Views
Wanajamvi tupeane uzoefu kidogo muda wa kuichakata mbususu na kuliwa mbususu huwa unakutana na kero gani?
3 Reactions
549 Replies
107K Views
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe...
17 Reactions
86 Replies
5K Views
Salute bosses, leo siku naona imeniendea vibaya, nimepigiwa kelele na binti mmoja kuwa nambaka. Huyu binti alikuja eneo nililokuwa nimetulia zangu najinywea bia zangu. Mara akaanza kuleta mazoea...
17 Reactions
34 Replies
3K Views
........
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi Tushirikishane mada hii nawakaribisha kuchangia kile unachoona ni sawa Jee wewe kama kijana unatakiwa kuchagua moja kati ya mawili unapotafuta binti wa kumuoa, jee...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom