Wewe:Oya!
Yeye:Niambie!
Wewe:Mzima?
Yeye:Mimi mzima wewe je
Wewe: Niko poa
Yeye:Okay
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII:
Jamaa:Mambo mrembo wewe...
Bhanigini bhane,
Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti...
Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa.
Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke...
Katika utafiti wangu niliofanya, niligundua kwamba wanawake wengi wanalalamika Sana kwamba wanaume wanawacheat na wanawake wengine.Ina maana katika mahusiano mengi asilimia 75 ya wanawake wapo...
Ndugu wana-Jamvi,
Mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi nane lakini anakabiliwa na tatizo la kuwa na hasira hasa pale anapoona amecheleweshewa kupewa kitu mfano kama uji au juice.
Unaweza...
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake au wanaume juu ya matatizo ya ndoa zao, hii ni tafiti yangu fupi kuhusu vyanzo vya migogoro katika ndoa….Ila kwa huu uzi nitaeleza sababu...
Fanya uhusiano na mtu anayekupa mawazo ya kusonga mbele kiutafutaji; sio unatengeneza mahusiano na mtu muda wote ni kukupiga mizinga tu; mara hela ya kodi imeisha, mafuta ya gari, mtaji n.k . Siku...
Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku.
Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae...
Tunawapenda sana kwa sababu mnatupa faraja mbalimbali; pale tunapokuwa tumechoshwa na mihangaiko ya hapa na pale huwa mnatufariji. Ila kuna wengine ni vichomi au mabomu, wanaosababisha tuwachukie...
Wapendwa nawasalimu kwa bashasha kabisa msimu huu wa valentine. Bila kupoteza wasaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni nani unatarajia kutoka naye na kutumia muda wenu pamoja siku ya kilele...
Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa.
Wakili Peter amesema...
Habari za mida hii ndg wanaJF.....
Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao.
Kivipi?
Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na...
Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k
Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae...
Miaka ya nyuma nikiwa bwana mdogo tu nakumbuka siku moja mdingi alinikuta nmenyuti kwenye korido home namchungulia dada wa kazi anapiga deki.
Mimi sikujua kama mzee karudi mapema siku hiyo. Yule...
Nimekutana na huyu binti pisi kali kabisa
Baada ya kuanza kuwa nae karibu nimegundua ana tatizo la usikivu hafifu sana. Napata shida kuongea nae hasa mbele za watu maana inanilazimu kuongea nae...
Jamani nimedate na waschana wenye majina haya kama 5 hivi sijui nina bahati gani ya kukutana nao. Wa kwanza alikuwa na miaka 16 miaka ya 2003 hivi. Huyu alikuwa anapenda sex kupitiliza yaan...
Siku moja nilipata safari kwenda mkoa anakoishi mchepuko wangu, ambaye tulibahatika kuzaa naye. Baada ya kufika katika huo mkoa, nilimjulisha na akanikaribisha niende kumtembelea nyumbani kwake...
Hili jambo limkute jirani yako tu, likiikumba familia ni majonzi na mtihani mkubwa sana. Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia, kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale
Napenda kujua kwanini wanawake wengi wanapenda sana kudate na bad boys.
Wanawake wengi warembo huwaambii kitu kwa wanaume bad boys au wanaume wahuni...
Hivi wakuu mnatumia ujanja gani kuwanasa Hawa watoto wazuri uko mitaani maana nyuzi nyingi humu watu wanaonesha wanachakata mbususu tofauti tofauti Tena za kiwango.
Lakini Mimi kila nikijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.