Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu salaam! Niende moja kwa moja kwenye mada. Baadhi ya wanawake mkoani mara hujichagulia wanawake warembo na kuwaoa. Mwanamke anayeolewa anatokewa mahali na kila kitu na mwanamke anayemuoa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna mwanaetu kapatwa na changamoto kutoka kwa mke wake Kama ujumbe wa unavosomeka hpa chini
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada...
22 Reactions
176 Replies
10K Views
A man went to social media to ask women how they life was as single women. The responses were interesting. Nomadlozi Ramagoshi responded: "Very lonely, especially on weekends. Every woma n needs...
4 Reactions
137 Replies
9K Views
Habari wajumbe, Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili. Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia...
4 Reactions
124 Replies
16K Views
Jaman ndugu wanawake mkituacha jitahidini muende kwa wanaume walio tuzidi upendo,matunzo , na ndoto za kuwa na nyie. Maana mnatia huruma mkikitana na Mambo kinyume. Naandika hivi baada ya...
9 Reactions
66 Replies
5K Views
Utafiti nilioufanya ni kwamba ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo, kuuliwa, kurogana n.k. lakini ukichelewa kuoa utaepukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Kweeema? Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort...
25 Reactions
228 Replies
10K Views
Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo. Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu...
22 Reactions
110 Replies
6K Views
Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura. Nilitokea kumpenda...
26 Reactions
230 Replies
11K Views
Nimejiuliza sana, mama zetu ni wepesi sana kueleza mabaya ya baba zetu na kuyaanika wazi, kauli kama kipindi unaumwa mimi ndio nilikupeleka hospital baba yako alikuwa amelewa chakari, baba yako...
16 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari wakuu? Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya nguo wilayani Kahama, na changamoto niliyonayo ni usimamizi, na mimi pia nipo mbali na huo ukanda. Nikiangalia haraka haraka kwenye...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Kwann nisinyanduliwe kabla ya ndoa wakati nikiingia nitanyanduliwa pia Hahaaa kwamba ni lazima uto.mbw
1 Reactions
0 Replies
291 Views
Jana usiku buana nikaingia mtwara bay kwa mara ya Kwanza sikuwahi kufika huku.mwenyeji wangu akaamua kunionyesha machimbo ambayo watu huteketeza pesa zao. Kiwanja Cha Kwanza tukaingia pale triple...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha...
19 Reactions
135 Replies
8K Views
Mmeamkaje kwa mlio Tanzania? Na wa maeneo mengine ya dunia ninatunaini muwazima pia. Katika kusherehekea siku ya wanawake kimataifa DC tajwa amewaasa wanawake kuacha tabia ya kuwalea wanaume maana...
8 Reactions
67 Replies
3K Views
Habari ya leo. Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na...
32 Reactions
207 Replies
13K Views
Wakubwa na vijana wenzangu nina imani kubwa Mungu ametujalia uzima na afya tele.. Tuseme Asante Mungu! Mimi ni kijana mwenye miaka 25, ninatarajia kuhitimu au kumaliza elimu ya chuo mwaka huu...
13 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari za muda hii wadau wa MMU.!?I hope mko poa.. Kwa kisa nilichokishuhudia siku ya sikukuu ya mwaka mpya mwaka huu nikasema sitokuja kumpiga mke wangu nikifanikiwa kuoa. Ni kama mida ya saa8...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo kuna kabinti kabichi bichi nimezinguana nae, nimempa apointment tukutane saa nane mchana mpaka muda huu anasema yuko njiani. Kaniudhi sana yaani sana, kafanya niwachukue mabinti wote...
15 Reactions
119 Replies
8K Views
Back
Top Bottom