Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu mimi sielewi Nina mshikaji wangu mmoja kila tukikutana ni vizinga plus analalamika maisha magumu. Ni jamaa yangu classmate etc ila mpaka muda huu ana watoto wa 3, leo nmekutana naye tena...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku ya valentine ilianza kwa shamra shamra sana kwa upande wangu, Nilipokea zawadi za kutosha kutoka kwa wife,michepuko n.k Pia na nikatoa zawadi za KUTOSHA kwa watu wangu wa karibu wengi tu...
31 Reactions
200 Replies
17K Views
Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
anajieshimu Msafi anayo mahusiano mazuri na wazazi wake sana sana Baba Anafanya mazoezi na kula vizuri Anapenda watoto Sio mbea Avuti sigara,bangi,shisha na kunywa pombe Sio king'ang'anizi...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Hello JF Members, Nimekuja kidogo na channgamoto ya kifamilia, ukweli napitia kipindi kigumu sana kifedha imeleta changamoto nyingi sana kwa upande wa maelewano na mzazi haswa mama..ikafikia...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza? Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale? Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na...
9 Reactions
201 Replies
11K Views
Wacha niwape somo dogo kwa leo. Kwa mtu unaempenda na kwa mapenzi unayoyapenda. Vipaji vyako,elimu yako,kazi yako,pesa zako,ujuzi wako n.k hivi vyote vinatakiwa kuwa mchango katika mapenzi yako...
3 Reactions
13 Replies
938 Views
Mfano, mpenzi/mke yupo kwenye kipindi cha uzazi mtoto kashafika miezi sita na zaidi lakini hajisikii kufanya mapenzi mara kwa mara, Akikupa sana labda kwa wiki mara 2, je sisi wanaume tunaopenda...
1 Reactions
7 Replies
848 Views
Habari za weekend wadau, Maisha yamebadilika sana kutokana na utandawazi na life style pia imebadilika na kufanya watu kutumia social network ku share kila kitu walichonacho au wanachopitia sasa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga...
2 Reactions
7 Replies
688 Views
Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa mahusiano fanya ufanyavyo ila hakikisha furaha ya moyo haitokani na mpenzi wako anavyo kutreat bali furaha yako ya moyo itokane na jambo lingine . Kuna wakati yes unatamani...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanaume ukiamua kujipenda wewe mwenyewe kwanza unapunguza hatari ya kula papuchi kwa gharama kwa asilimia [emoji817],hivi unajua kuwa muonekano huongeza uwezekano!? Ipo hivi ukiongea hata kwa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Ikitokea mkeo au mchumba wako anaanguka kwenye moja ya makundi hayo yafuatayo, upo tayari kumvumilia yupi kati yao. Mwanamke ambaye ni rahisi kugawa uroda kwa kila mwanaume lakini ndani ya nyumba...
5 Reactions
92 Replies
5K Views
Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuhangaika kutafuta mwenza wa ndoto zako ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la...
4 Reactions
76 Replies
5K Views
Under which circumstances will you forgive CHEATING? Katika mazingira yapi unaweza kusameheme kosa la kusalitiwa na mwenza wako? Mimi mahali pekee naweza kusameheme cheating ni kwenye wizi wa...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Wafundisheni yafuatayo: 1. Jinsi unavyoweza kumfanya mwanaume akakupenda na akaona wewe ndio kla kitu. 2. Jinsi ya kugegedana mpaka mwanaume alizike na astamani kwa mwingne. 3. Jinsi...
11 Reactions
94 Replies
6K Views
Hello, Je waoaji na waolewaji wanafahamu na kupata maarifa ya kutosha kuhusu ndoa, why ndoa? Uishije ndoa? Road map ya ndoa inarejea msingi ngapi na ni zipi. Usipojua haya huna tofauti na...
2 Reactions
16 Replies
906 Views
Hello everyone , how is yr weekeeeend going ? Okay, wakati wanachadema wakiwa na furaha na shamla shamla za kiongozi wao mbowe kurudi uraiani basi na mimi bila ya kupoteza muda wala kupepesa...
5 Reactions
106 Replies
6K Views
Back
Top Bottom