Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa...
Kuoa na kuanzisha familia ni moja ya hatua muhimu zaidi kwa kijana.
Kwa kua ni hatua muhimu zaidi basi umakini zaidi unahitajika hasa katika kuchagua mwenza sahihi wa kuanza naye safari hiyo...
Habari wanajamvi wenzangu,
Naenda moja kwa moja kwenye mada,
Hii ni hasa hasa kwa kaka zangu (me). Unakutana na mdada, anamaisha yake tu ambayo anajipatia riziki yake ya kula kila siku japo mia...
Kwa Washenga au Kungwi?
Nafahamu wapo Wanawake waliopewa Talaka au wajane humu tunapoishi, napia kuachwa sio dhambi tafsiri nyepesi Talaka ni seal au lakiri inayofungia ndoa, kwa lugha utangazaji...
hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,,
1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sana
2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanza...
Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio...
Ushahidi unaonesha kuwa hata mapenzi yaanze kwa nguvu kubwa kiasi gani lakini bado kamwe hayatodumu na kubaki na nguvu hiyo hiyo kwa muda wote.
Inapotokea Wawili wamependana basi waingie...
marriage
Many persons have dabbled into the commitment of marriage to their romantic partner by mere admiration, physical endowments, fashion and other trivialities and paying little or no...
Salaam ndugu zangu wana JF,
Kwa uzoefu wangu (ingawa kupitia wanawake wawili tu) niliowahi kuwa nao kimahusiano katika maisha yangu kwa nyakati tofauti ambapo nikiri wazi kwamba nilikuwa...
Habari za wakati huu wanajamvi
Naomba nitoe utambulisho kwa kifupi tu,,,,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nina mke na watoto kadhaa ni mfanya biashara hivyo hulazimika kusafiri mara kwa...
Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na...
Wakuu habari,
Roho inaniuma, moja kwa moja kwenye point.
Kuna rafiki zangu wawili wa kiume tulikuwa tunapiga nao story wao wanafanya kazi kwenye taasisi flani yenye mabinti warembo wengi...
Nilipata stori kwenye kijiwe kimoja, kuna mwanamke alikuwa ameolewa na wakabahatika kuwa na watoto. Kwa bahati mbaya mumewe akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine, huku nyuma akaamua kuiacha...
Wakuu,
Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.
Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa...
Habari wakuu.
Sijajua changamoto iko wapi? Mwanamke akianza kulalamika kuhusu mahusiano baina yangu na yeye hapo ndipo unakuwa mwisho wake. Siwezi kuvumilia malalamiko wala aina yoyote ya...
Males do not enjoy being stung by bees, despite the fact that bees are a source of fascination for them. Despite the fact that women are notoriously cunny and difficult to approach, men are...
Habari wadau?
Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye...
Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha mtu aliye kwenye ndoa kufanya mapenzi na mtu yeyote nje na mwenzi wake wa ndoa.
Wazinzi Ni Wanandoa Wanaotoka kingono nje Ya Ndoa Zao.
Uasherati ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.