Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Serikali haiajiri. Watoto wazurizuri wako mtaani wamemaliza vyuo hawana ajira. Mitaji ya biashara hamna. Hivyo basi vijana wengi huamua kujilipua tu. Either unambahatisha mume mwenye ajira mke...
16 Reactions
490 Replies
18K Views
Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo...
54 Reactions
136 Replies
7K Views
Kukimbia pia ni moja kati ya mbinu za kivita pindi unapoona umezidiwa,unaweza ukajiona jasiri usikimbie ukabaki ukauwawa! Nasema hivi mwanaume pindi unapoona uchumi wako umeyumba na ikifika...
17 Reactions
102 Replies
5K Views
Habari wanajamvi wenzangu na washauri wa hapa MMU. Kiufupi mimi ni mwanamke niliyeolewa miaka 5 iliyopita na kubahatika kupata watoto 2 wa kiume. Mmoja ana 4 yrs na mdogo ana miezi 9. Mume wangu...
19 Reactions
236 Replies
41K Views
Wakuu habari za usiku. Acha niende kwa mada leo katika pitapita zangu maeneo ya huku chini ocean road nikakutana na mmsai yuko na demu wakizungu afu sasa dizian kama dada kamwelewa mmasai. Uyo...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Hello Hello WanaJF Wanaume! Kula hivi Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi 1.Supu ya maharage 2.Maziwa mtindi 3. Mtori 4. Kitunguu swaumu walau punje 5 5. Asali 6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa yangu tu. Sasa...
4 Reactions
78 Replies
4K Views
Dah wakuu napitia kipindi kigumu kuna mwanamke nilianzisha mahusiano nae miaka kama mitatu nyuma Sasa kipindi naanza nae mahusiano nilikuwa na kawaida ya kumpeleka gest tunafanya mambo yetu...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kikundi cha wanawake kilikuwa kwenye semina ya jinsi ya kuishi katika uhusiano wa upendo na waume zao. Wanawake waliulizwa, "Ni wangapi kati yenu wanampenda mumeo?" Wanawake wote waliinua mikono...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimegundua hapa JF kuna watu wengine ni umri wa babu yangu, wengine umri wa mama yangu na wengine umri wa wajomba na aunties hivyo kwa maana hiyo ninaomba niwasalimie kwa heshima. Shikamooni...
33 Reactions
346 Replies
11K Views
Thamani ya ndoa itabaki palepale sababu ndoa ni mpango wa Mungu ndoa ni kielelezo cha utu na heshima ya mwanadamu ndoa ni kilele cha malengo na matarajio ya mwili wa mwanadamu.Ndoa ni jambo muhimu...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
ALIANZA NA JAMAA ANYEITWA KIM KUMCHAFUA MZIGO ULIKUWA KAMA HIVI Bi. Mwele Malechela,Najua utashangaa sana kuusoma huu ujumbe. Usishangae mshukuru Mungu kwa kuzipata taarifa hizi. Nimeona njia...
1 Reactions
130 Replies
30K Views
Wakuu! Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano...
16 Reactions
155 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu,kijana wenu naomba ushauri katika hili iko hivi; Mwanzoni wakati naanza mambo ya mahusiano nilikuwa vizuri tu na watu niliokuwa nao katika mahusiano nikimaanisha upande wa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika...
30 Reactions
250 Replies
14K Views
Paulo mtume(mtu mwenye busara zaidi Duniani baada ya Yesu Kristo aliewahi kuishi Duniani) aliwahi kushauri kua wanawake muishi nao kwa akili. Miaka flani nikiwa nasoma shule ya upili kidato cha...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne. Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na...
26 Reactions
104 Replies
43K Views
This is a fact we have to accept, a man in a relationship (especially in modern times) has already limited his potential. A woman will drain you financially, emotionally & mentally. It's the harsh...
13 Reactions
78 Replies
4K Views
Back
Top Bottom