Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa...
Habari za wakati huu wandugu.
Mie nimepata maswali kadha kadha kichwani mwangu. Hii imejulikana toka muda, kwamba si Jambo rahisi au jema kwa Rafiki wa kiume kuambizana kuwa nimempenda dada yako...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana...
Nimepta Twitter leo nikakutana na mada hii. Tucheze kamchezo mtumie ex wako msg mwambie naomba turudiane, screanshot halafu weka kwenye comment tuone nani bado anapendwa na baazi walichangia kama...
Nadhani hapa wengi wetu kila moja anamjua mtu Fulani ambae hata akienda kwenye sehemu ambayo hajulikani yeye haimchukui dakika hata zaidi ya 5 kuwa marafiki na watu asiowajua kwa kiasi ambacho huo...
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo?
Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅
Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja...
Mjue mkeo.
Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu...
Salaam kwenu nyote!
Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana.
Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo...
Igweee..... Jf
Mfumo wa maisha yangu ni very complex, naweza nisilale home hata zaidi ya week. Mchana pia kunikuta home nime chill tu bila kuwa busy na uandishi wa report ni nadra sana. Muda wote...
I really need your help, as I feel like I'm going out of my mind. Nimekua na huu mchepuko kwa miaka mitatu ni mzuri sana and a decent human being. But I can't shake off the feeling that I don't...
Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani...
Wakuu,mada hii ni maalum kwa wazazi au walezi wa watoto,changamoto tunazopitia katika malezi ya watoto na jinsi ya kukabiliana nazo,wote tunatambua kua malezi ya watoto ni muhimu na watoto ndio...
Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama.
2. Watoto wangu Mnaotumia...
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private...
Kuna Story nimeikumbuka ya miaka Saba iliyopita.. Ngoja niihadithie kidogo iwepo hapa kama ukumbusho wa safari yangu mm na huyu Dada ex wangu popote alipo.
Anaitwa Teddy, nilikutana naye 2013...
Hapo vip!!
Kwanza napenda kudeclare yakwamba, mimi sio mtumishi wala si mganga wa kienyeji msije kunisumbua pm.
Ni hivi,binafsi nimekuwa nikitafiti maisha ya wanaume na wanawake wanaotembea na...
Habari Wanaume Wa JF
Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu...
Huyu binti kweli ni mzuri, sura na umbo la kuzugia analo siwezi sema sana ila ila cha kupagawisha wanaume wakwale kama sisi kajaaliwa tena lile teke teke aswaaa,
Ni binti tu wa kiswahili swahili...
Leo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani
Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.