Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume Age 50plus Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
14 Reactions
105 Replies
6K Views
Habari wapenzi. Japo ni mgeni kiasi humu Jamiiforums, nimeomba nipate ushauri wenu japo kiasi nipate mwelekeo. Nina binti yangu 3yrs now, ambaye baba yake, yaani mzazi mwenzangu alikuwa...
14 Reactions
614 Replies
46K Views
MASIKIO YA KENGE Kenge huwa hasikii kabisa mpaka pale masikio yake yatakapotoka damu. Na ukiona masikio ya kenge yanatoa damu basi ujue yameanza kusikia. Kama hujui ni kwamba kusikia kwa kenge...
16 Reactions
72 Replies
50K Views
WanaJamiiForums ambao bado hamjaoa nawashauri kama unataka ndoa ya mwanamke kukuheshimu oa mwanamke aliyelelewa na baba na mama kwani ambaye hajalelewa na wazazi wote either single parent au...
20 Reactions
94 Replies
8K Views
Usafi ni moja ya nyenzo bora za mtu kuwa na afya njema. Ili mtu awe na afya bora, hana budi kuzingatia usafi wa mwili, mazingira anayoishi na anavyokula. Usafi wa Ngozi: Pamoja na kazi nyingi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzee Mkali ( 67) ana kijana wake wa kiume aitwae Mashoto ( 27 ) Siku moja Mashoto alimuuliza baba ake " BABA HIVI ULIMPATAJE MAMA?" Mzee Mkali aliposikia swali hili kutoka Kwa kijana wake WA...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema...
17 Reactions
40 Replies
5K Views
Za asubuhi, Jumapili njema. Kuna kasumba ya wanaume wengi wa bongo kutangulia kufa na kuwaacha wake zao wakitanua. Najua kuna kitu unawaza ila nikuhakikishie tu kuwa hicho unachokiwaza ndio...
3 Reactions
17 Replies
877 Views
Familia ya Champasingh Lama, kutoka Humla eneo la Fang Tungar huko Tibet, imezingatia ndoa ya mitala kwa vizazi 17. Lakini, kulingana na mwanawe wa kiume na mjukuu, utamaduni huo sasa umepitwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
SHIKAMOONI KWA WALIO WAKUBWA ZANGU NA HABARINI ZA ASUBUHI KWA WA RIKA LANGU NA MARAHABA KWA WADOGO ZANGU. Ni siku nyingine tena ambayo kama ilivyo ada ya jukwaa letu pendwa ambamo tunajadili na...
0 Reactions
194 Replies
16K Views
Kuanzia jana nahisi mimi ndo mtu mwenye furaha sana dunia nzima lol! Baada ya kua kwa relationship miaka 2 na miezi 5 sasa tunaoana tarehe 30 mwezi wa 7. Huyu kaka angekua mswahili ningesema...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Za saa hizi Wana MMU? Natumai mpo salama kbsa na tumshukuru Mola kwa kutuwezesha kuiona siku nyingine mpya. Duniani Mambo Ni mengi muda mchache, Kuna mwanamke mmoja alikuwa anafanya kazi katika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapa nataka tuelimishane kidogo jinsi ilivyo vigumu kuzuia USALITI kwa nguvu za kibinadam. Hili ni suala ambalo hakuna kanuni inayokubali kuuzuia kwa ukamilifu wa 100% kwani binaadamu ni kiumbe...
47 Reactions
140 Replies
15K Views
Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa. Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine...
9 Reactions
129 Replies
11K Views
Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini. Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo...
17 Reactions
94 Replies
11K Views
Achana kitu kinaitwa utu aiseeeeh Pamoja na mateso yoote ya mapenzi niliyopitia lakini ngoma ya "utu" ya Ali kiba unanipeleka mbali saana kihisia Asikwambie mtu kupenda raha saaana hasa ukimpata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF. Kuna kitu huwa inaniboa sana na kunitia simanzi ambayo haina msingi kwa wakati huo. Kwa mapenzi ya Mungu, kuna wengine tumepoteza wazazi angali tukiwa wadogo kabisa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha. Inaelezwa kuwa jamaa...
4 Reactions
104 Replies
7K Views
Back
Top Bottom