Habarini wadau,
Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau
sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi...
Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex...
Ni mwanamke nilie mjua kupitia jamaa yangu. Ni mwanamke Alie kwenye ndoa yake ni mwanamke wa makamo yupo around 30s katika hii ndoa hakubahatika kuwa na mtoto japo ndoa yake Haina shida full Aman...
Amani ya Bwana iwe baby I!
Nawasilisha mtazamo
Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na...
Niaje wakuu?
Leo sasa hivi hapa ninapoandika kisa hiki nakiandikia TEMEKE HOSPITAL kuna mshkaji mpangaji mwenzangu kaliwa ndogo, yani masela wakukodiwa wamemvisha shanga wakammwagia mafuta ya...
Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako...
Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.
Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie...
Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.
Sababu inaonyesha kwamba ni...
Cha mno ni nini hasa?
Nini matarajio yako nje ya ndoa yako uliyonayo sasa?
Ninini?, kwamba uliamini kwamba mwenzi wako ni malaika? Au unaamini kwamba ukimwacha huyo then utampata mtakatifu...
Happy Valentine kwa wenye Mapenzi!
Leo nimekumbuka Valentine ya mwaka jana na Xwife wangu.
From December 2020 tulikua na kutoelewana flani nikasema ngoja nimtulize Kwa mtoko maana ni vitu...
Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
Natamani nikifikisha miaka 60 kama Mungu atajalia, nisiwe natumia nguvu nyingi sana za kupata ugali kwa siku. Kama itawezekana, uwe ni umri wa kucheza na wajukuu pamoja na kwenda kuwinda au...
Dunia haikosi vituko,
Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya...
Habarini Wakuu!
Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special[emoji7] ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho...
Nımeona quote moja huko twitter ambayo imekuwa popular na watu wengi wanaisapoti. Hiyo quote inaonekana inatoka kwenye movie inayoitwa love tactics huko netflix.
Quote inasema " Wanaume wana...
Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo...
Mambo zenu wakuu?
Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am...
Ni jioni tulivu kuelekea kesho siku ambayo wanadamu tumeamua kuopotosha kabisa maana yake halisi na kujiwekea maana ambayo inatufurahisha sisi kizazi cha uovu. Haya hili tumekubali sasa kuna...
Ulimwengu hadaa dunia shujaa nimepita kijiwe cha wana kuna mwanetu kaachana na mamsapu cha ajabu jamaa hana stress zozote kuhusu huyo mwanamke ndio kwanza tunashangaa jamaa anabring bring,anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.