Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
NAMI NALISAKA KAPU, NIPAKE KUCHA WADADA – 03/01/2015 Nami nalisaka kapu, nipake kucha wadada Ni kama vile upupu, hii kazi ya faida Siwezi toka patupu, najua zake faida Nami nalisaka kapu...
8 Reactions
31 Replies
9K Views
Mabibi na mabwana, Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake...
52 Reactions
229 Replies
12K Views
Bongo ukimpenda mtu utaitwa mshamba. Mwanamke wa kibongo akijua unampenda na kumjali anakutangaza kwa rafiki zake kuwa amekukamata na huwezi kufurukuta, na hata fala atakuita. Wabongo wengi...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini! Aiseeee leo ni siku nyingine ila sio kama siku zingine hii ni siku maalumu ya watu wapendanao watu walio katika mapenzi acheni yale mapenzi ya Kirafiki au ya kindugu. Tukiwa tunasubiri...
3 Reactions
88 Replies
5K Views
Natanguliza na radhi kama nitakuwa nimekosea.Kila ninapotembea miji mingi humu Kenya, siwezi kukosa vibao vya waganga wa kienyeji wa kutoka Tanzania. Hivi, hawa waganga ni wa ukweli, ama? Kama...
1 Reactions
29 Replies
16K Views
Habari wakuu.... Ninae rafiki yangu wa karibu (tunafanya kazi pamoja) Ana mahusiano na dada mmoja kwa muda sasa Na wameshafanya mambo kadhaa pamoja... Changamoto ni kua huyu jamaa yangu anaemdogo...
0 Reactions
18 Replies
949 Views
Happy Valentine nyote! Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana Actually, valentine ya leo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada, Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini? Na je mpaka...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapendaw salaam na heri kwa sikukuu. Naomba ushauri wa nini cha kufanya hapa niko kwenye ndoa mwaka mmoja sasa,hivi karibuni nimegundua kuwa mke wangu anachukua vitu vya ndani madhalani vyakula...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Unajua kuna fursa nzuri sana ya kupiga hela nyingi sana na kukufanya kuwa famous kwa muda mfupi kama nchi yetu ingekuwa haina mambo ya kishamba. Nayaita mambo ya kishamba kwa sababu dunia...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Mademu wa Kenya Ni pasua vichwa kupitiliza wakuu.Yaani pisi za huku Kenya zina udikteta mixer miyeyusho ya kiwango Cha lami sijawahi ona.Ngoja niwape kisa kimoja. Nakumbuka kipindi fulani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tarehe 14 February almaarufu siku ya wapendanao. Nataka kujua siku hii inalenga wapenzi tu wa jinsia moja au ni mapenzi kwa jamii yote ?mana dada zetu wanataka kuitumia kujinufaisha. Katika...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Husika na kichwa hapo juu. Utamridhisha dada yako wako wa pekee kwa kuruhusu aolewe naye huyo jamaa ambaye ni paka na panya kati yenu au utamkatalia ili abaki bila furaha (ambayo ndio kitu...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Siku imeisha kama hivyo muhusika mkuu kimyaa [emoji848],hivi kweli inawezekana kuna upendo kweli hapa[emoji1381]‍♀️design kama tunategeana nani amuanze mwengine sijui kwakweli sipati majibu...
25 Reactions
159 Replies
9K Views
Kama umekuwa wa kwanza kufowardiwa ,narudia tena, kufowadiwa meseji ya Happy valentine na mtu mwingine kabla ya wewe kumtumia huyo mtu, jua tu aliyekuforwardia anathaminiwa na kukumbukwa na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
VIP
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Uvumilivu ni tiba na rutuba ya kupitia milima na mabonde ya ndoa. Umoja ni dawa chanjo ya uimara wa taasisi yaani ndoa. Wengine mtasema upendo mimi natumia umoja, na hii hutokea pale baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnipe faida za kuoa/ Kuishi na mwanamke, mimi ni bachela, nataka kujua faida, kabla sijachukua maamuzi.. Maana naona kila kitu napata, still nikiwa bachela. Utelezi napata. Kufua...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom