Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ukijiona umemfanyia yote mpenzi wako na bado unaonekana hukizi, hutoshi,hupendwi kiufupi mambo bado, wala usihangaike anza kuchunguza tabia za baba yake, ukiona baba yake huwa mkali sana kwa mkewe...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Tarakimu hii "12",imenifanya niukumbuke mwezi wa kumi na mbili mwaka jana katika moja ya mtaa niliokuwa naishi nilikuwa na washkaji zangu kadhaa ambao tulipata kufahamiana katika jioni...
28 Reactions
66 Replies
11K Views
Nahisi nina matatizo au sielewi ni mgeni sana wa haya mambo. Iko hivi, mwanamke nikimsaundisha ikizidi wiki mbili sioni muelekeo namkaushia. Mimi ni wale wanaume ninaeamini katika "love at first...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna watu wamekua wakiuliza mara kwa mara kama inaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka umri gani wa mimba au ni sahihi kufanya tendo la ndoa kipindi cha ujauzito? mwanamke akiwa na mimba...
5 Reactions
32 Replies
62K Views
Nimechoka kufatwafatwa pm watu wakiniuliza kuwa nawezaje kuishi bila mapenzi!,Sasa nimeamua nije nijibu swali hili hadharani kwa manufaa ya wote. Mapenzi yamekuwa ni mwiba kwa baadhi ya watu tena...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijui, zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini...
70 Reactions
576 Replies
70K Views
Basi bwana, Nimetoka zangu bustanini kung'olea majani na kumwagilia mboogambooga. Naingia ndani nakuta missed call 8 kuangalia ni binamu..... Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Wanajamvi mu hali gani? Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke...
18 Reactions
63 Replies
9K Views
Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu...
16 Reactions
128 Replies
19K Views
Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na dunia ya sasa ilivyo napendekeza wanaume tuanze kutoka na wanawake wa kishua au vipi? Wengi wana upendo wa kweli na nimeona hili. Kaka mkubwa Usangelola heshima yako! Nimeku+acknowledge!
6 Reactions
46 Replies
7K Views
Huu ni utafiti usio rasimi lakini kuna ukweli ndani yake Mwanamke aliye kwenye ndoa anakuwa na wivu wa juu kwa mwanamke mwingine hasa mke wa mtu kwa asilimia 90% hasa akibaini anatembea na mume...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE. Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari za weekend. Mwaka 2001 nilikuwa Kijiji fulani nafanya kazi ndo first appointment na nilikuwa sijaoa,kutongoza sijui na nyege kama zote Hadi zimevunda. Nilipokuwa ninakaa palikuwa na...
3 Reactions
24 Replies
38K Views
Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka Kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanzo Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi na taasisi fulani ila badae mwaka 2017 ilifunga shughuli zake nchini Tanzania. Nikapoteza kazi na nikawa muda mwingi nipo nyumbani napanga mipango ya...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Miezi kadhaa imepita baada ya mke wa jirani yangu kumfumania mme wake akiwa na mchepuko lodge fulani hapa mjini Baada ya fumanizi mke wa jamaa aliapa kuwa lazima atalipa kisasi mbele ya mme wake...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
Umofia kwenu!!!!!1 Kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2022, ni muda mrefu kidogo nimekuwa ndugu mtazamaji lakini kwa leo naomba nilete hili kwenu. Kwanza kabisa ijulikane taasisi ya...
16 Reactions
38 Replies
3K Views
Mithali : Mlango 9 13 Mwanamke mpumbavu hupiga kelele,Ni mjinga, hajui kitu. Watu wote wanapoingia KWENYE ndoa hutarajia furaha, amani, upendo na faraja. Nyumba ni ya Mama. Mwanamke ni mwerevu...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Habarini! Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga. Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa...
22 Reactions
290 Replies
20K Views
Back
Top Bottom