Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Alikuwa akisoma article fulani kwenye mtandao huku amekaa kwenye kiti kilichopo chumbani mwao.. "Darling...." Akamuita mumewe.. "Yes.." Mume akaitika... "Unanipenda?" Akamuuliza mumewe ambae...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari zenu wanamjavi? Natumai mpo salama na mnaelendea vyema na shughuli zenu.Leo naomba tuongelee hili saula la kurudi nyumbani kwa mpenzi wako ukitoka kazini.Hii thread ipo applicable Sana kwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
SEHEMU YA KWANZA Malumbano yaliendelea, ilikuwa kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya usichana kujikuta katika mkwaruzano na wazazi wake wote wawili,tena wote wakiwa wanayapinga maamuzi...
10 Reactions
202 Replies
82K Views
Ndugu zangu huyu binti nimetoka naye mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndio ninamjua vizuri sana. Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo...
4 Reactions
90 Replies
6K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua..... Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa...
23 Reactions
237 Replies
9K Views
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki wapendwa hapa jamvini........ Leo nimekumbuka kisa cha rafiki yangu mmoja........ Miaka kadhaa nyuma baada ya rafiki yangu kupambana na usafiri wa umma...
14 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukweli ndio huo kama ilivyo kuwa vigumu kumtamkia mtu umpendae nakupenda, ni hivyohivyo kwa mpenzi ambaye ana kupenda kukuomba pesa. Hivi ushawahi jiuliza kwa nini kuna ugumu wa kumtongoza yule...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Kama kawaida katika harakati zangu za hapa na pale nikiwa kwenye fukwe nabalizi akatokea bro mmoja tusie fahamiana ila tulisalimiana na kila mtu akaendelea na mishe zake 2017 hiyo. Baada Kama ya...
43 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari za jioni wapendwa! Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu...
5 Reactions
74 Replies
7K Views
Kwa wadada tu; waliopo Moro nna zawadi zenu za valentine
1 Reactions
2 Replies
461 Views
SHERIA YA NDOA, SURA YA 29 KIFUNGU CHA 64(1), (2) and (3). Sheria ya ndoa chini ya kifungu tajwa hapo juu inamruhusu mwanamke ambaye ameolewa katika ndoa halali inayotambulika kisheria, KUKOPA...
5 Reactions
65 Replies
8K Views
Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Miaka michache iliyopita nilipata kazi ya mkataba, nikawa nakunja milioni moja kwa mwezi, nikaona maisha si ndio haya. Bahati mbaya nikaangukia kwenye mikono ya watoto wa mjini, laki laki zilikuwa...
17 Reactions
54 Replies
4K Views
Hivi yupo aliyefanikiwa kupata Mpenzi/mke kupitia JF? Kama wapo nahitaji kufahamu, maana hata mimi nafikiria kufanya hivyo. Lakini hadi nipate uhakika kwa waliokwisha thubutu.
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Nina shida wanajamii, nipo mbioni kupoteza penzi nililowekeza kwa muda mrefu. Natafuta mganga wa kienyeji (mkweli) aweze kuliponya hili penzi kwani sipo tayari kuliachia, ikibidi nichukue jumla...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku...
22 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu hamjambo aisee. Mmefanikiwa na kubarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni. Moja Kwa moja naanza, nilihamia kikazi mkoa Fulani kanda ya ziwa huku bahati nzuri huku yupo bwana MDOGO amekuwepo huku...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Bila kupoteza muda mimi naomba msaada tu kupewa darasa la kufanya massage kwa ajili ya kutoa uchovu na kumpa raha mpenzi wangu. Nimeamua kuomba huu msaada kwa sababu tupo mbali...
0 Reactions
24 Replies
25K Views
Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, aliyejaa utu, utii na ubinadamu. Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom