Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu Kwa ambao hamjaifahamu devide ana rule ni ile unafanya watu wakosane au wagombane halafu baadae ww unamtawala/kumchukua mmoja wapo. Hiyo njia inatumiwa sana na baadhi ya...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana Baada ya kupitia vitabu baadhi nikapata kitu ambacho nimeona nilete kwa ajili ya kujifunza na kuongezeana ujuzi Kitu chenyewe ni NDOA =>Ndoa ni muunganiko wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Anaitwa Nsia Swai, dada aliyepata umaarufu baada ya fundi uchwara wa kompyuta kuacha maadili yake ya kazi na kuamua kuzitawanya mitandaoni picha za utupu za huyu dada. Huyu dada endapo...
7 Reactions
121 Replies
49K Views
Baada ya ndugu zangu kuonyesha wazi kuwa hawamtaki mke niliyemuoa nilikaa chini na mke wangu tukapanga jambo. 1. Tulikubaliana kujifanya tumegombana sana na kila mmoja ameridhia tuachane. 2...
26 Reactions
80 Replies
5K Views
Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali...
23 Reactions
89 Replies
9K Views
Habari waungwana. Kwanza kabisa tuvumiliane. Leo nina swali, hivi unaweza kumuacha mtu unaye mpenda kwa dhati kwa kushauriwa na mtu au watu ? Hii hasa nauliza jinsia ya kike. Karibuni aisee...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea...
3 Reactions
9 Replies
38K Views
Leo ni siku. Salam wanajamhuri. Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Kuoa pisi kali huku huna hela au hela yako ni ya mawazo ni kutafuta magonjwa ya moyo na presha. Kwa sababu zifuatazo:- Pisi kali haijui kutumia kuni Pisi kali haijui kulima Pisi kali haijui...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Kwa jinsi nilivyo na haraka nikusalimu kifupi tu, Uhali gani? Baada ya kukaa kuwaza nimekuja kujua wengi wetu ni wabinafsi sana, na wengine hata hatujui kuwa tunachofanya ni ubinafsi wa kutisha...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Wazazi/walezi wengi hutamani kujenga tabia mbalimbali nzuri kwa watoto lakini hujikuta katika njiapanda ya kuchagua tabia ipi waiwekezee nguvu zaidi ya nyingine. Katika kuhudumia kwangu wazazi kwa...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona...
27 Reactions
124 Replies
8K Views
Kwanza kabisa nikianza na. 1: TEMEKE-malaya wa hii wilaya kifup hawana akili hata kwa mihogo ya jero anaeza vua chup** wapo ambao hawana akili wao wako cheap hata kwa buku mbili wao ni kiguru juu...
1 Reactions
83 Replies
19K Views
Amkeni mkajenge familia, na nkuijenga nchi, wenye changamoto za kiafya, kiuchumi MUNGU wa Mbinguni awasimamie. Mwaka jana ndio mwaka ulionipa uchungu saaaana maishani mwangu maana nlipoteza mama...
17 Reactions
64 Replies
3K Views
Wakuu habari. Kuna huu msemo kua hakuna aliyekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa...
12 Reactions
330 Replies
29K Views
Jamani hii post ni kwa ajiri ya mwanaume mwenzetu. Kama wewe una mke mmoja, Ana watoto watatu wote wa kiume mtoto wako wa mwisho Ana miaka minne Basi huu uzi ni wako. Natamnua unahangaika Sana...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Eeh, Kuna anayebisha? Baada ya kuaona matukio mengi ya mauwaji, wanawake tunachinjwa kila siku nimeona niuseme ukweli huu.. wanawake wengi tunaingia kwenye mapenzi na tusiowapenda sababu ya...
49 Reactions
229 Replies
23K Views
Back
Top Bottom